Wakuu,
Katika pekua pekua nmekutana na hii mechi kule Holland.
"Jong PSV vs Helmond"
Hii mechi imenifanya nijiulize maswali mengi sana.
mojawapo,
nmehisi muhindi amejichanganya kabisa kwny kuplace odds.
Haiwezekani kabisa Jong PSV apewe odds kubwa kiasi kile (odd: 2.11)
wkt hii mechi ni wazi kabisa anaenda kushinda.
Tena kwa ushindi wa kishindo kabisa.
Kwann nasema hivo?
Hii ni kutokana na kwamba hii mechi inamuhusisha alieko juu kabisa ya msimamo (5th) na alieko chini kabisa ya msimamo (18th)
Kingine ni kwamba recently,
Jong PSV yuko kwny form nzur sana ukilinganisha na Helmond.
UKIMWANGALIA jong PSV,
Kati ya mechi 7 zlzopita alzocheza hapo home, ameshinda mechi 6
Mpk hivi sasa,
Mechi 8 zilizopita home, amefunga goli 2+ ktk mechi 7.
Pia mechi 13 mfururizo both home&away, amefunga goli 1+
UKIMWANGALIA HELMOND
Kati ya mechi 5 home&away, amepigwa mechi 3.
Ukifatilia last head to head,
Utagundua kua jong PSV ameshinda mechi 2 mfururizo za head to head both home and away.
Tena kwa ushindi wa kishindo
Kiukweli namuona jong PSV akiwa na nafas kubwa ya kuchukua point 3 muhimu.
Simuoni kabisa kama Helmond ana uwezo wa kutibua hii form Kali alokua nayo jong PSV kwa sasa.
Ushauri,
Hii game inafaa kuicheza peke ake kwny single bet,
Namaanisha,
-ukampa direct win jong PSV kwa kuweka stake kiasi.
Au
-ukampa "home to win either half-yes" kwa kuweka stake kubwa.
Au
-ukampa jong psv "Draw no bet" kwa kuweka stake mlima Meru
Au
Ukampa " away clean sheet-no" kwa kuweka stake mlima kilimanjaro
Au
-ukampa "away win to nil-No" kwa kuweka stake mlima everest.
TUSIIPOTEZE HII GOLDEN CHANCE WAKUU.
View attachment 673968