Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Maritzburg Utd vs Bloem Celtic
Score: 0 - 0
Min: 11
*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +15206587134*

CS 1-1

STAKEWIFE
 
Kote huko ndio anga zangu mkuu, ligi za urasi hockey ninapenda kucheza under 5.5, marekani, canada , na germany huwa napenda kucheza over 5.5 basket ndio nayo haitabiriki kucheza matimu mengi lakini timu moja moja waweza kupata kitu ambacho mimi huwa siwezi kufuraha BET won halafu output yake ni 20,000/=
kaka tupeane mawasiliano ili tujengee team ,tupia no kaka
 
MKEKA No.4

Odds: 2.76

Stake: 37k
Marejesho: 102k

NB: uyo wa mwisho ni Handball

Mapambano yanaendelea .
Screenshot_20180112-214024.png
 
Mm mwny kwangu inagoma,

nataka nimuue Bayern munchen kwny single bet kwa cap ya goli 2 kwa livercuzen .

Kha, wananiboa sn princess
Mimi tangu saa 17:00 za jioni haifunguki.
Wananikosesha hela hawa wajinga na premier nimewithdraw mpaka muda huu hola.
 
Kwny mkeka no.2

HAWA jamaa nshamaliza nao biashara mapema kabisa

Well done players
Screenshot_20180112-223845.png
 
Back
Top Bottom