Yeah ni wazee wa UNDER 3.5...sasa leo mmoja alipewa 2.40 na mwengine 2.85 kwa Over 2.5 niliwa select slot moja wawili baadae nikaghairiHao huwa hawatabiriki.
Ni mzuka tu umewapanda,
Huwa siwaamini kabisa kwny upande wa over
Naona nimes anataka kuondoka na stake yetuMkeka wa PESA No.2
Odds: 1.47
Stake: 137K
Marejesho: 201K
Mapambano yanaendelea.
View attachment 674049
Dah kule Holland2 ni mara mia kuweka 3+ na GG tu leo sijui nimewashwa nini nikampa huyo Mpumbavu 1X na bado kapigwa ,mpuuuzi mwingne Soxhaux kabigwa na bwege wa mkiani mara mia ningechukua odd za Bayern anaongoza 2_0 mpaka sasa kuliko hao wapumbavu aghh..!!Yeah ni wazee wa UNDER 3.5...sasa leo mmoja alipewa 2.40 na mwengine 2.85 kwa Over 2.5 niliwa select slot moja wawili baadae nikaghairi
Yeah ni wazee wa UNDER 3.5...sasa leo mmoja alipewa 2.40 na mwengine 2.85 kwa Over 2.5 niliwa select slot moja wawili baadae nikaghairiHao huwa hawatabiriki.
Ni mzuka tu umewapanda,
Huwa siwaamini kabisa kwny upande wa over
Hyo ni hatar mkuu.Yeah ni wazee wa UNDER 3.5...sasa leo mmoja alipewa 2.40 na mwengine 2.85 kwa Over 2.5 niliwa select slot moja wawili baadae nikaghairi
Kweli kabisa mi nlimuona sema kuna wapuuzi wengine wamezinguato win alikuwa na odd 4+ kama sikosei
Pole sn mkuu, hauko peke akoDah kule Holland2 ni mara mia kuweka 3+ na GG tu leo sijui nimewashwa nini nikampa huyo Mpumbavu 1X na bado kapigwa ,mpuuuzi mwingne Soxhaux kabigwa na bwege wa mkiani mara mia ningechukua odd za Bayern anaongoza 2_0 mpaka sasa kuliko hao wapumbavu aghh..!!
Psv boya kweli leo mimi na ww mkuuLeo ni mimi na inplay ya basketball nipo namuhenyesha khanji
Maumivu leo mkuu ila Aluta Continua..kesho nayo siku mdauPole sn mkuu, hauko peke ako
Slot No.2
Maritzburg United FC - Bloemfontein Celtic FC
1/X
1.28
NEC Nijmegen - Go Ahead Eagles
Over 2.5 goals
1.30
Total Odds 1.66
Hapa ndiyo utasema mhindi mchawi yaani hii mechi imakataa kwa normal basi kweli normal ni adui namba moja wa bettingWakuu,
Katika pekua pekua nmekutana na hii mechi kule Holland.
"Jong PSV vs Helmond"
Hii mechi imenifanya nijiulize maswali mengi sana.
mojawapo,
nmehisi muhindi amejichanganya kabisa kwny kuplace odds.
Haiwezekani kabisa Jong PSV apewe odds kubwa kiasi kile (odd: 2.11)
wkt hii mechi ni wazi kabisa anaenda kushinda.
Tena kwa ushindi wa kishindo kabisa.
Kwann nasema hivo?
Hii ni kutokana na kwamba hii mechi inamuhusisha alieko juu kabisa ya msimamo (5th) na alieko chini kabisa ya msimamo (18th)
Kingine ni kwamba recently,
Jong PSV yuko kwny form nzur sana ukilinganisha na Helmond.
UKIMWANGALIA jong PSV,
Kati ya mechi 7 zlzopita alzocheza hapo home, ameshinda mechi 6
Mpk hivi sasa,
Mechi 8 zilizopita home, amefunga goli 2+ ktk mechi 7.
Pia mechi 13 mfururizo both home&away, amefunga goli 1+
UKIMWANGALIA HELMOND
Kati ya mechi 5 home&away, amepigwa mechi 3.
Ukifatilia last head to head,
Utagundua kua jong PSV ameshinda mechi 2 mfururizo za head to head both home and away.
Tena kwa ushindi wa kishindo
Kiukweli namuona jong PSV akiwa na nafas kubwa ya kuchukua point 3 muhimu.
Simuoni kabisa kama Helmond ana uwezo wa kutibua hii form Kali alokua nayo jong PSV kwa sasa.
Ushauri,
Hii game inafaa kuicheza peke ake kwny single bet,
Namaanisha,
-ukampa direct win jong PSV kwa kuweka stake kiasi.
Au
-ukampa "home to win either half-yes" kwa kuweka stake kubwa.
Au
-ukampa jong psv "Draw no bet" kwa kuweka stake mlima Meru
Au
Ukampa " away clean sheet-no" kwa kuweka stake mlima kilimanjaro
Au
-ukampa "away win to nil-No" kwa kuweka stake mlima everest.
TUSIIPOTEZE HII GOLDEN CHANCE WAKUU.
View attachment 673968
Mkuu naona vijana wa kikapu wamevuka over 160.5 si habaLivercuzen kachomoa 1