Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mzigooowa Niort
HT.FT
ALIUWEKA MAPEMA SATATU ...YAANIHIZI SHIDA ZA CHAJA ...ANAZIONAA TU
Screenshot_20180113-024718.png
 
Yaaninimejiunga GRP mojala fb nafungua mdahuu nakita amerusha hizo saatisa kilihoniuma umeona ile magoli 7+..utaona jamaa wanamuuliza how sure anakwambia am the king ..walihack acc take wahuni.
Aisee, mm namtafta sjamuona fb.

Au keshabadili profile pic.

Maana namesearch sn sjamuona
 
Never giveup

Chelsea - Leicester City
1 & Over(1.5) 1X2 & O/U 1.5
1.45
8974
Tottenham - Everton
1X & Ov(1.5) DC&O/U 1.5
1.28
3071
Brentford - Bolton
GG GG/NG
1.60
3072
Bristol City - Norwich City
X2 Double Chance
1.62
4376
Wigan - Peterborough
GG GG/NG
1.65
4542
AC Omonia Nicosia - Ermis Aradippou FC
1 1X2
1.37
4544 1st Division
AEK Larnaca FC - Aris Limassol FC
1 1X2
1.11
 
Tar 21 tukumbushane jan
 

Attachments

  • IMG-20180113-WA0017.jpg
    IMG-20180113-WA0017.jpg
    79.2 KB · Views: 28
Yupoo katikatuma msg styblsd mdahuu
Nmemuona mkuu,

Nmecheck profile yake.

Anasema anafanya kazi BET sports.

Afu kwny introduction,anasema anatoa only fixed matches.

No prediction or analysis 100% sure.

Afu anaongezea kwa kusema kuna watu kipindi walihack account yake akawa hapatkani.

KUNA KITU NMEGUNDUA MPWA,
Hii BET ni kampun ya betting.

HAWA jamaa BET wana kashfa nyingi sn za match fixing hasa kule Italy.

Ila wanalindwa sana maana wanapesa nyng mno, hata hakuna wa kuwasogelea.

Nakumbuka kuna kipnd walkua wanaidhamin R.Madrid kule Spain.

Kipindi hicho
Madrid ilkua na matokeo ya ajabu ajabu.

kuna wadau waliwah kusema R.M wanaperform vibaya kwa sababu ya match fixing kutokana na influence ya BET.

Pia nakumbuka kipindi wakiidhamini ac Milan kule Italy.

Ac Milan ilidrop mpk watu wakaogopa.

Ila kuna kipindi ikiwa ktk form mbaya, na wengi tuliiua kwny mikeka.

Ilipiga MTU goli nyingi mno (8:0)

Watu wote tukabaki midomo wazi.

Kuna baadhi ya watu waliwah kufungua mpk kesi, kua BET wanatk kuishusha daraja Milan.

Hyo kesi sjui iliisha ishaje.

Pia,
Kuna kesi nyngn ya forebet kutoa tips za zinazofail kila mara kutokana na dau zito la udhamini wa BET sports

HAPA NMEAMINI HUYO JAMAA NI MTU WA SYSTEM.

NA HIZI KAMPUNI ZA BETTING NI KWELI ZINAFIX MATCH.

Huyu jamaa ametoa tips 3 tena ni ngumu sn kwa MTU au mazingira ya kawaida kudhani kitu km hicho kinaweza tokea.

Na zote zimetoka exactly.
Screenshot_20180113-032031.png
 
Never giveup

Chelsea - Leicester City
1 & Over(1.5) 1X2 & O/U 1.5
1.45
8974
Tottenham - Everton
1X & Ov(1.5) DC&O/U 1.5
1.28
3071
Brentford - Bolton
GG GG/NG
1.60
3072
Bristol City - Norwich City
X2 Double Chance
1.62
4376
Wigan - Peterborough
GG GG/NG
1.65
4542
AC Omonia Nicosia - Ermis Aradippou FC
1 1X2
1.37
4544 1st Division
AEK Larnaca FC - Aris Limassol FC
1 1X2
1.11
Kesho naona pesa ipo nyingi sana mkuu
 
Uko napaogopa sana mkuu jana nimeliwa kumi na tano hivi hivi kwa muda mfupi.... option za kule zinabadilika badilika sana hadi unashindwa ku place aise
Kule inabidi uplace fasta inakubidi uende umepanga utacheza option ipi sio unafika kule unaanza kutafuta option odds zinachange.
 
Back
Top Bottom