Mkuu princess wahuni wameondoaIn play twende kazi
Kweli?Mkuu princess wahuni wameondoa
Kwnye live ni football na volleyball tu ww umeipata?Kweli?
Kwaniniii utafutweee mPwaaaaa wekeza ubinadamu zaidi kama nduguyoo Deep anavyofanya uone baraka za Mungukama kweli unataka kutengeneza pesa ndefu kwa njia ya ku bet, nitafute
bet365 inaweza ikakufanya ukawa millionea fasta
inplay betting ndio nzuri..na bet tennis kama hujui mbinu utaelekezwa, unaweza anza na dola 100 na baada ya mwezi ukawa na dola 2000 sawa na million 4 za kitanzania.
no easy money..bet pia ni kazi
![]()
Hii match ya LEVERKUSEN ni tricky sana. Takwimu zinaonesha kwenye mechi tano walizokutana hivi karibuni BEYERN hajashinda akiwa ugenini na wala hajatoa over 1.5.
Huyu LEVERKUSEN hajapoteza game hata moja kwenye last 5 matches lakini ameweza kumtoa kwenye DFB POKAL huyu mbabe wa BAYERN(Monchenladbach).
NOTE: Safe bet kwenye game hii ni corner. Mpe Bayern over 5.5 corner
Nafikiri unachosahau kuzingatia ni kwamba hii Bayern ni ya Jupp Heynckes sio Carlo Ancelloti. Kama unamjua vzr huyo kocha basi nafikiri utapunguza hofu kwa Bayern. Kuifunga Bayern saiv ni shughuli kweli kweli ... labda kutokee circumstances ambazo hazitarajiwi .. e.g red card, maamuzi ya kimakosa ya refa etc.
Ni sawa na kulinganisha Man Utd ya Sir Alex Ferguson na hii ya Mourinho.[/QUO
Hahahaha! Kuna Mtu Alikuwa Anataka Kuibetia Hii Mechi Akawa Anawaogopa The Bavarian, Nikamwambia Kama Ulichokiandika Ww Kiongoz
Duh,Mpwaanomaaasana huyu mcheki fb
Yaaninimejiunga GRP mojala fb nafungua mdahuu nakita amerusha hizo saatisa kilihoniuma umeona ile magoli 7+..utaona jamaa wanamuuliza how sure anakwambia am the king ..walihack acc take wahuni.Duh,
Watu km HAWA ni muhimu sn humu jf