Yupoo katikatuma msg styblsd mdahuu
Nmemuona mkuu,
Nmecheck profile yake.
Anasema anafanya kazi BET sports.
Afu kwny introduction,anasema anatoa only fixed matches.
No prediction or analysis 100% sure.
Afu anaongezea kwa kusema kuna watu kipindi walihack account yake akawa hapatkani.
KUNA KITU NMEGUNDUA MPWA,
Hii BET ni kampun ya betting.
HAWA jamaa BET wana kashfa nyingi sn za match fixing hasa kule Italy.
Ila wanalindwa sana maana wanapesa nyng mno, hata hakuna wa kuwasogelea.
Nakumbuka kuna kipnd walkua wanaidhamin R.Madrid kule Spain.
Kipindi hicho
Madrid ilkua na matokeo ya ajabu ajabu.
kuna wadau waliwah kusema R.M wanaperform vibaya kwa sababu ya match fixing kutokana na influence ya BET.
Pia nakumbuka kipindi wakiidhamini ac Milan kule Italy.
Ac Milan ilidrop mpk watu wakaogopa.
Ila kuna kipindi ikiwa ktk form mbaya, na wengi tuliiua kwny mikeka.
Ilipiga MTU goli nyingi mno (8:0)
Watu wote tukabaki midomo wazi.
Kuna baadhi ya watu waliwah kufungua mpk kesi, kua BET wanatk kuishusha daraja Milan.
Hyo kesi sjui iliisha ishaje.
Pia,
Kuna kesi nyngn ya forebet kutoa tips za zinazofail kila mara kutokana na dau zito la udhamini wa BET sports
HAPA NMEAMINI HUYO JAMAA NI MTU WA SYSTEM.
NA HIZI KAMPUNI ZA BETTING NI KWELI ZINAFIX MATCH.
Huyu jamaa ametoa tips 3 tena ni ngumu sn kwa MTU au mazingira ya kawaida kudhani kitu km hicho kinaweza tokea.
Na zote zimetoka exactly.