Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kule ukiwa mtulivu mbona unampiga mfululizo tu.
Sahihi. Huwa naisoma kwanza q1 na ya 2 then nafanya maamuzi kuimaliza game na kucheza third q.... Nimeona ya kwanza na ya 2 ndo huamua game mara nyingi... Ila ata ya kwanza huamua nini kinatokea first half.
 
Kuwa makini mkuu jana nimeliwa kwa kuangalia hiyo trend q1 na q2 alishinda wa ugenini ilivofika q3 na q4 akashinda wa nyumbani tayari nikapata bet lost
 
Nimejivika mabomu kwa ajili ya kujilipua PHONIX afikishe point 20 akiwa wa kwanza q3
 
Wadau hsbari zenu naomba kujua kuna tatizo gani M bet au me ndo sjui kitumia maana ndo nimejiunga lakini nikiweka salio kwa kutumia m pesa hela ina rudishwa
 
Wadau hsbari zenu naomba kujua kuna tatizo gani M bet au me ndo sjui kitumia maana ndo nimejiunga lakini nikiweka salio kwa kutumia m pesa hela ina rudishwa
utakuwa unakosea reference number ya ticket mkuu ila nakushauri hama m bet huko ni kwa watoto wanaojifunza kubet
 
Mkuu kwahyo tunafanyaje sasa kuhusu huyu jamaa? Au tumpe dau nono nn kama milion mbilimbili kila member?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] just a joke
 
wadau habarini za asubuhi ,naombeni ushauri wenu nataka nimpe ushindi full time Adelaide's .ana odd 1.60Ft

Basketball.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…