Dah,
Huyu jamaa sio wa mchezo mchezo.
Zile za Jana alpozipost mchana.
Kabla ya mechi,nlicheck watu kibao wanamshangaa.
"Dude, u gonna b outa of ur mind, over 6.5 ?".
"King, that's a lie, this match cant end X/X "
Jamaa akawajibu Kirahisi sana.
"Told u already, no analysis no prediction"
"Those matches are 100% fixed, Let's meet here after 90 min"
DAH,
HUYU JAMAA NI HATARI SANA KWA AFYA YA MUHINDI.
Nmsubir azipost niwamwagie humu.
Ngoja niicheckMkuu timu yako Paderborn ina friendly game leo, umeona?
Zinatoka,Real Madrid v Villarreal CF
Total corners 9,5 - Over
Chelsea FC v Leicester City
Total corners 9,5 - Over
Mkuu DeepPond mchango wako hapo
Zinatoka,
Ila Kwa Chelsea rekebisha kdg maana wakishashnda hawaelekagi hao sometimes.
Wape 8.5
Wengine hatuna telegram .ungepiga screen short to share pamoja.Kizur kula na mwenzio BETLOX TIPS wenye telegram chungulien humo wanatoa free tips na znatoa nyingi tu though odds zao si kubwa
Wakuu hapa vipi Niplace bet au LA?
Poa ngoja nichekiHuyu Panionios vipi ukimpa DC mkuu - X2? ... itakuwa poa zaidi, maana wagiriki kutoa Draw hawajambo.
Broo acha tamaa ya Odds zote izo ile hali una Mtaji mkubwa kiasi hicho tafuta timu 2_3 weka huo mzigo upate laki au laki na nusu...sio mbaya...kwa asilimia kubwa utashinda...kuliko timu msululuu...namna hio kuharibika ni fasta yan...Wakuu hapa vipi Niplace bet au LA?
Saiz naingia naambiwa content not availableHaha ndio kaka nao a katualert Odds 500 we gotta stay tuned ,nmeshamuadd Fb haha namskilizia pia...dah...!!match fixing bhana ndo maana jana Jong Psv na Wenzie kina Nimes na sochaux wametuliza......!!anyway lets wait bro...
Nchi gani hii?All thrbestView attachment 674566