Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
The same to me aise sjui jamaa watakua wamemreport??daah atakua kapigbwa Ban kutokana na kuvujisha nini izo Tips?[emoji22]Saiz naingia naambiwa content not available
Hawa bookmaker watakuwa wamemhackSaiz naingia naambiwa content not available
Hahahaaaa nlkuw nataka niweke stake hata ya 100000 leo wangenikoma manina zao.Naye angekua Anafanya kimyakimya sasa mpaka kuwakashifu ''They hacked my account,I hacked their Server'' pengine wameshamshtukia...aisee daah!! embu DeepPond na wengine mchekini jamaa@JohnSing kama anapatikana...mi nlimpata mara ya kwanza saivi naambiwa Content not available[emoji38][emoji38]
Same to me
Daah kaka achaa tu I planned the same kaka nlitaka izo odd 500 nizitupie 100k nipige izo Milion kadhaa acha tu broo...ama kwel ng'ombe wa maskini hazai asee....Hahahaaaa nlkuw nataka niweke stake hata ya 100000 leo wangenikoma manina zao.
Kachelewesha mnoo na yeye daah...balaa tupu yani...Naona John sign kashapigwa Kitendo kule Facebook.
Dah, si angetupia mzigo mapema aseeeh
Wengine hatuna telegram .ungepiga screen short to share pamoja.
Sijui alkuw anasubiria tu nn huyuKachelewesha mnoo na yeye daah...balaa tupu yani...
Yaaaniii kwaninisijaelewaKachelewesha mnoo na yeye daah...balaa tupu yani...