Haijulikani aisee I wish angetupa izo Tips mapema tu aaghrr..!!Wanaomfungiaaa n fb ama
Wadau nisadieni kuangalia game ya basketball kati ya
Ormanspor genclik
Vs
Fenerbahce
Ilikua inaanza SAA nane kamili lakini mpka now haijaanzaa. Cjui imeahirishwa au VP??
Mi naona kama Anatuzingua tu huyu sjui nae anatafuta followers asa wakati anareport kua Fb wamemblock kua tunfollow Auri Guri kwa nn apoapo asiweke izo Tips??Inakua kama wote tunatongoza dem mmoja sasa ambae hajui amkubalie nani amkatalie nani...[emoji23]Da nimempatq ila kaacha ujumbe mfupi huu hapa
John Sing
Hello everyone .
My account is blocked from facebook .
**** facebook . Block my account again.
Whu trust me
LIKEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
For odd 500 FOLLOW
Aúrél Gúrı
its real king .
31 mins · Public
Usitusahau na sisi sasaView attachment 674630 Guys John Sing karudi tena nmemcheki sasahivi....anadai Fb wameblock acc yake...hahaha mi mpaka kieeweke ukicheki comments watu wanaliliaa izo odds 500 tu....
Usihofu mkuu,Haijulikani aisee I wish angetupa izo Tips mapema tu aaghrr..!!
Aisee,mkuu kuna hawa wanawake wa psg leo wapo uwanjan nn maoni yako n over ngapi wanastahili
Lille W - Paris SG W
Anyway yani navomsubiri kwa hamu??daah!!Kanji mwenyewe ndo anajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usihofu mkuu,
Sing ni mchawi wa IT.
So soon anavunja hiyo ban.
Huyu jamaa sio MTU wa kawaida.
Mara ya 3 sasa wanahack a/c yake.
Km Jana aliwz kuikomboa,nna imani kabisa na hii anaikomboa.
Sing namuona ktk level za wakina snowden.
Snowden,
Twitter wenyewe walishinikizwa na serkali ya USA kuipga ban a/c ya snowden.
Na waliipga ban kweli kweli, baada ya siku 2.
Snowden alirudi on air.
Aliikomboa a/c yake mwnyw kutoka KWNY ban.
TWITTER MANAGEMENT WALIDATA.
Mpk wakapelekwa mahakaman kua wanashirkiana na snowden.
Mkurugenz wa twitter ,
Mark zuckerberg akajieleza mahakamani kua
"Mm sjakataa kutoa ushirikiano"
"Ila Ata mm mwnye sielewi nn kimetokea, a/c ya snowden system yetu inagoma kabisa kumpga ban"
"Hii swala liko nje ya uwezo wetu kabisa, na ili liwezekane"
"Ni lazma labdavwapigwe ban wateja wote wa twitter dunia nzima, kitu ambacho siwez kufanya hasirani"
"Namwomba mwendesha mashtaka au yeyote humu km ana uwezo wa kulifanikisha hili basi aje tushirikiane"
JAMAA HIVI SASA NI MOST WANTED DUNIA NZIMA,
SNOWDEN ANATAFUTWA SANA KULIKO HATA OSAMA BIN LADEN.
KWAHYO,
NAMUONA SING KTK HIZO LEVEL
So soon anarudi ulingoni
Hilo ni kweli mkuu.Nahisiiii khanjiii anachangiaaaa pesa kumhack jamaa