Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilianzaga na mil1 nikatengeneza slots 10 za team mbili mbili tu zenye odds zisizozidi 1.5 na hizo slots hazitakiwi kuzidi match mbili. Nikawa nacheza option hizi (Handicap ya goli 2, 12 na 10mins draw hapa kuna muda slots mechi mbili zinaleta mpaka Odds 1.4 which is below 1.5) ktk kilo slots nilikua naweka 100K. Siku ya kwanza Slots zote zilizaa iyo ilikua mwaka jana mwezi wa 8. Nikachukua zao la kila slot nikalicheza tena hapa slots 9 zikazaa moja ikapotea. Ila kila wakati slots inapopotea uwa natafuta namna ya kui recover either kwa kuweka kijikokolo cha kimakini ili kufidia na katika kila mzao kama kuna faida zaidi ya nilicho expect huwa iko kiasi nakiundia slot pia (Faida inayokuja bila ku expect utokea iwapo slot nilizoweka zimezid Odd 1.5 hii inamaana kama ningeweka laki hapo nita expect 150,000/ lakini kuna muda unakuta slot inaleta Odds 1.8 inamana hapa italeta 180,000 hapo ina maana 30 niyo faida nayoisema siku i expect.

All kikubwa kuna rules zangu nilizojiwekea na huwa nafata hizo
Samahani Mkuu vipi kwa MTU mwenye mtaji Mdogo mfano 50000 unamshaur nn endapo anataka kucheza unavyocheza ww
 
NGOJA NIRUDIE ILE TABIA YANGU YA POINT 4 KWANZA
POINT 4 HIZO HAPO!!

-BORUSSIA DORTMUND (2.5 over) POINT 1.50
-LYON (2.5 over) POINT 1.66
-PSG (2.5 OVER) 1.61

UKIZIDISHA HAPO UNA PATA POINT 4 * 100,000=400,890

wale wanao taka kukuza mtaji unaweza weka elfu kumi yako kazi ukapata elfu arobaini na mazagazaga nawatakia siku Njema
 
cd07ac4dd55186824a40814303465310.jpg
 
Good advice,.

Hebu na mm niongezee kdg hapo,


Tamaa ni adui mkubwa sn wa hii kazi.

Pata faida kidg kidg huku ukiwa na mzunguko mkubwa.

Hiyo ndo principle kuu ya biashara yoyote zenye mafanikio duniani.

Ni muhimu sn kuziheshimu na kuzifuata kwa umakin wa hali ya juu sheria&taratibu ulzojiwekea ktk betting.

Mwisho ,
BETTING ITS REAL BUSINESS.

SUCESS IN THIS BUSINESS, ITS ONLY FOR SERIOUS INVESTORS.
Samahani Mkuu naomba ushaur tafadhali Mimi kanuni yangu kila Siku kujikumbusha mwnyw kuwa hata kama no mia tano nimeingiza nashukuru kwani sikuwa nayo hiyo mia tano naomba unishaur nifanyaje kupitia biashara hii angalau niingize japo elfu saba tu kila cku samahani kwa usumbufu
 
View attachment 675256
Na huu ndio mfano wa namna team navyozipangilia ktk hizo slots Cc troublemaker
Mr wise. Wew una busara sana. Nakukubali sana. Hili group limekuwa kama familia kwangu. Natafuta mtaji wa 500k ili nianze kaz officially.
Mr wise utanisaidia hiyo soft copy kwa ajili ya record keeping.
Yaani nafungua ofis kabisa
 
Back
Top Bottom