ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
hiyo ya mwisho ni nchi gan?sijuo ni hockey ama
hiyo ya mwisho ni nchi gan?sijuo ni hockey ama
Tatizo jamaa nae kelele nyingi mpaka makampuni ya Betting yanamstukia...Kila kampuni hii game kanji kaistukia wanaweka 3 way tuuu
Hilo nalo ni tatizo ndo maana wanatukomesha sasa *****Tatizo jamaa nae kelele nyingi mpaka makampuni ya Betting yanamstukia...
Kampuni zote za betting washaipotezea hii game
Kitcheee ov 2.5 waliooonaahapojuui korokororoo
Huyo mchizi alirud tena fb?Kampuni zote za betting washaipotezea hii game
Hockey Denmarkhiyo ya mwisho ni nchi gan?sijuo ni hockey ama
Hiyo mechi ya mwisho nitakuombea vibaya maana sina namna
Mkuu hao Winning hautakiwi kuwa copy kama walivyo unasoma tu upepo na kutengeneza mkeka, ebu walete tuHuyo mchizi alirud tena fb?
Tayar mkuuMkuu hao Winning hautakiwi kuwa copy kama walivyo unasoma tu upepo na kutengeneza mkeka, ebu walete tu
Hiyo mechi ya mwisho nitakuombea vibaya maana sina namna
Ha ha ha....Princess ajatoa opt to yote hapo zaid ya 3 way
Mkuu kama huna kijiuoga mpe Liver direct WIN singlebet ana Odds 3.03, ukiogopa mpe double chance mchanganye na wajerumani wape wote Over1.5Hahaha ... bado sijatupia mkuu ... nimeweka humu niskie km kutakuwa na ushauri. Nina 40K na ninashida na odds 3-5