WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,375
- 3,140
Under 3.5 maana yake ni nini?U can't be serious
Under 3.5 maana yake ni nini?U can't be serious
Ha ha ha ha ha kweli now 4-3 = 7+ [emoji28] [emoji119]
Nnavyo ona mhindi Leo angehama nchi kwakufilicka[emoji15]Ha ha ha ha ha kweli now 4-3 = 7+ [emoji28] [emoji119]
daah huyu jamaa nyoko
Magoal yameingia kama mvuaTayari Goal 7
Muda kashusha mpaka Odds 3.77 kwa BournemouthYaani tena mumkimbie kabisa Arsenal, maana hata mhindi kajistukia amempunguzia Bournemouth Odds alimpa 4+ sasa hivi kashusha mpaka 3.9 na amemuongezea Arsenal kutoka 1.8 mpaka 1.85.
Hii game Sanchez anaweza asicheze kutokana na sakata lake la kuama team kutokumalizika weekend hii plus hao majeruhi
Ndani ya Dk 11 yameingia magoli matanoHa ha ha ha ha kweli now 4-3 = 7+ [emoji28] [emoji119]
Nimeona betting zote naona hiyo mechi haikuepo kabisa dahNdani ya Dk 11 yameingia magoli matano
Washamblock Facebook naona hapatikani tena.Sema King angekuwa anatoa japo mechi tano anatoa moja tu
Washamblock Facebook naona hapatikani tena.
Kweli ni wa kumkimbia sasahv wenger hayuko vzuri kwenye kupanga Team mixer majeruhMuda kashusha mpaka Odds 3.77 kwa Bournemouth
Bora kabisa aje twitterAJE TWITTER AISEE
Hapo ndio utaelewa kua fixed match zipo..sasa matapeli nao hawakosi ili kupigawatu pesaWon
Hahaha ndani ya Dk 11 yameingia magoli matano
John sing is the KING
[emoji23]Washamblock Facebook naona hapatikani tena.