Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Alexis Sanchez had started
Arsenal’s last 14 PL games but is
not included today. Arsenal have
picked up only 1 point from the 3
away PL games that he hasn’t
started this season (defeats at Stoke & Watford, draw at Chelsea)
Jack Wilshere is fit to start his 7th
successive PL game
 
Hapo ndio utaelewa kua fixed match zipo..sasa matapeli nao hawakosi ili kupigawatu pesa

Aisee match wanafix, kama nilikuwa nacheck game ya Levante na Celta Vigo.... Levante kapiga mashuti zaid ya 15 na amekosa chances za wazi kabisa mtu na goli kama 7. Kama hii game haikufixiwa ni nini?
 
MKEKA WA PESA No.1

Odds: 2.35

Stake: 44,000 Tsh
Marejesho: 103,400 Tsh

NB:
Uyo wa kwnz ni volleyball-turkey
Uyo wa pili ni handball international-WHIL

Mapambano yanaendelea
Screenshot_20180114-155611.png
 
Sina bahati ningeiona mapema hii muda huu ningekuwa nachekelea


Mkuu makampuni mengi hii mechi either haikuwepo ama ikikuwepo lkn kulikuwa na 3-way options tu ambapo Lech alipewa odds 1.09 km sikosei na huyo wa ugenini alipewa odds mlima. Ttzo hakukuwa na options zaidi ya 3-way
 
Unataka ujiunge princess bet au?
Tangu jana nahangaika aisee nachat nao wanipe msaada kimya yani .....duh...pesa zinanipita tu!!za bure...kama una maelekezo nipatie mkuu itapendeza zaidi namna ya kujiunga maana naona kama nafanya kila kitu...ila mwisho wa siku kulog in inazngua....
 
Back
Top Bottom