Huyu John Sing anataka kulipwa eti nimemchekecha akasema alipwe euro 25 kupitia western union sema sasa nshakutana na scammerz wengi wa aina hii nimegwaya
Sasa km ushamlipa afu akakupa option ya 7+,Me nimeingia facebook nikawa nimekutana nayo ila mechi ilikuwa ishastukiwa haikuwa na option zaidi ya three way ..
Sasa km ushamlipa afu akakupa option ya 7+,
Kisha unafungua kwny option,
unakutana na mechi wamekuwekea 3 way peke ake.
What next?
Sasa km ushamlipa afu akakupa option ya 7+,
Kisha unafungua kwny option,
unakutana na mechi wamekuwekea 3 way peke ake.
What next?
John sing yuko vzur.View attachment 675377jamaa amepatia kweli
John sing yuko vzur.
Sema shida akiweka public sn jamaa wanabadili option.
Mshauri mkuu asiweke public sana inaathiri kinomaJohn sing yuko vzur.
Sema shida akiweka public sn jamaa wanabadili option.
Nmewaza sn hilo mkuu,Huyo atakua tapeli machale yanannicheza kwanini atake hela akat yeye anaweza kua tajiri bila hvo vi euro 25 vya kwetu
Mi nafkir labda wamekorofishana huko au wamedhurumiana huko ndio maana anafanya hivyo anaweka vitu public why don't he spread tips secretly? This is nonsense itakuwa wanakomoana wao kwa wao.The guy should use whatsaapp number if hes serious or emails
That's also possible.Mi nafkir labda wamekorofishana huko au wamedhurumiana huko ndio maana anafanya hivyo anaweka vitu public why don't he spread tips secretly? This is nonsense itakuwa wanakomoana wao kwa wao.
Mi nafkir labda wamekorofishana huko au wamedhurumiana huko ndio maana anafanya hivyo anaweka vitu public why don't he spread tips secretly? This is nonsense itakuwa wanakomoana wao kwa wao.
Nmewaza sn hilo mkuu,
Japokua ni mapema sn kumwita tapeli.
Akil yang inanambia,
Kuna mwekezaji ktk hz match fix.
Huyu anazinunua mechi kwa gharama.
Tena ukichungza ni mechi kutokana kwny ligi na timu zile hoi hoi kiuchumi.
MF: lech,matrezberg,etc
Baada ya kuzinunua,
Anachokifanya ni kutengeneza kwnz soko.
Hapa huwa na mawakala.
Hawa ndo hupenya kwny masoko na kuwafkia wateja.
Ili kuweza kuwin soko lake
Hapa huanza kuliteka soko kidg kidg kwa kutumia market penetration strategy.
Hii anaifanya kwa kujenga kwnz public trust kwny tips anazotoa.
Mf:
kwa kutoa ofa ya free winning tips kama alzotoa juz na Leo.
SOKO LIKISHAKAA SAWA, NA MTAJI NA FAIDA YAKE VIKARUDI.
NEXT,
TIPS ZINAZOFATA HAPO ZNAKUA NI MAGHUMASHI TU.
Unakua umepigwa pigo takatifuHahaha hapo mkuu inakua hamna wa kumlilia
Huyu atasababisha madhara kwenye biashara yetu ya betting for sure.That's also possible.
Maana kuna sentensi yake moja naikumbuka.
"They hacked my a/c , I hacked their server. Am the only king"
KUNA NAMNA WANAKOMOANA.
Anajua kabisa kua fb ndo mtandao wny wateja wengi kuliko yote duniani.Very true maana hata mm siamini njia pekee ya mawasiliano ni facebook tu angeweza fanya hii kitu kwa siri na akafanikiwa kwa id hata kumi tofauti
Baba Jesca asitupe ajira na huyu aje atuharibie biashara yetu maana itafikia hatua watakuwa wanaondoa baadhi ya options.That's also possible.
Maana kuna sentensi yake moja naikumbuka.
"They hacked my a/c , I hacked their server. Am the only king"
KUNA NAMNA WANAKOMOANA.
Anajua kabisa kua fb ndo mtandao wny wateja wengi kuliko yote duniani.
Pia wajinga wajinga wengi wakupigea muamala wako fb.