Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nmewaza sn hilo mkuu,

Japokua ni mapema sn kumwita tapeli.

Akil yang inanambia,
Kuna mwekezaji ktk hz match fix.

Huyu anazinunua mechi kwa gharama.

Tena ukichungza ni mechi kutokana kwny ligi na timu zile hoi hoi kiuchumi.

MF: lech,matrezberg,etc

Baada ya kuzinunua,
Anachokifanya ni kutengeneza kwnz soko.

Hapa huwa na mawakala.

Hawa ndo hupenya kwny masoko na kuwafkia wateja.

Ili kuweza kuwin soko lake

Hapa huanza kuliteka soko kidg kidg kwa kutumia market penetration strategy.

Hii anaifanya kwa kujenga kwnz public trust kwny tips anazotoa.

Mf:
kwa kutoa ofa ya free winning tips kama alzotoa juz na Leo.

SOKO LIKISHAKAA SAWA, NA MTAJI NA FAIDA YAKE VIKARUDI.

NEXT,
TIPS ZINAZOFATA HAPO ZNAKUA NI MAGHUMASHI TU.
Trust me. Jamaa mpigaji. Namfananisha na DECI.
Matapeli wengi wanafanikiwa kutokana na tamaa zetu.
Kinacho fata lazima watu wapigwe kama Kwenye bit coin
 
Update......
Wale wa mkeka WA pesa No.1

HAWA jamaa tushamalizana nao.

Wamebaki wakina Zlin tumshughurikie muhindi.
Screenshot_20180114-195418.png
 
Sport : Average Probability (from odds) of Winner
Volleyball 0.61
Boxing 0.60
Basketball 0.57
Tennis 0.57
Aussie Rules 0.56
American Football 0.55
Darts 0.54
Rugby Union 0.54
Handball 0.53
Cricket 0.52
Snooker 0.52
Rugby League 0.52
Baseball 0.51
Soccer 0.38
Ice Hockey 0.37
 
Back
Top Bottom