Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Daah tuko pamoja kwny maombi ... wameshasawazisha ss tuombe ushindi ... maana na mm nna mkeka nmempa direct win
Utaelewaaa tuDuuuu hii ni liver na man city kweli au ni liver na mliman city haya macho yangu yananidanganya nadhan 4:1 duuu
Hahahaaa nishaelewa mpwaaaUtaelewaaa tu
Lyon vs angersHuwa sichezi mara kwa mara mpaka nijilridhishe uyo Angers yuko nafasi ya 19 akiwa na rekodi mbaya ndio sabab nikamuamini Lyon. Ngoja nisubirie 90'
Pafos kule tumetia tickLyon vs angers
DKK 84.
Kua na imani thabiti
YaaaaapilatoLyon vs angers
DKK 84.
Kua na imani thabiti
Princess wameiondoa.John Sing [emoji115][emoji115][emoji115]
Ipo live mkuuPrincess wameiondoa.
Hiyo game nmeiona ilkuepo asbuh
Zimetoka 11 kama ulifungua moyo utakua unacheka sasa hvUsijiulize mara 2 mkuu hizo kona zinatoka vizuri sana
Nimesha jitungua hukoWakuu jamaa kapost tip hii hapa
![]()
Mkuu jamaa yupo fb bado mbona ktk search hapatikani?Wakuu jamaa kapost tip hii hapa
![]()