Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
Umeshtukia dili et? Ila kama sio kweli leo watu watapigwa mpunga vibaya mno kwani wataingia mazima [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni mnigeria kuweni makini nae huwa wanatapeli sana! Wengi ni either agents wa betting companies au anauza tu tips so be careful wale wazoefu Twitter wapo kibao! Na wanajua ku edt results.
Mi naenda na mikeka ya deepond fresh[emoji3]
Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app