Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

e17a10cb6c5ec5ec9b8bc67be727d76d.jpg
walishusha odds wameweka nane tu
 
Ni mnigeria kuweni makini nae huwa wanatapeli sana! Wengi ni either agents wa betting companies au anauza tu tips so be careful wale wazoefu Twitter wapo kibao! Na wanajua ku edt results.
Mi naenda na mikeka ya deepond fresh[emoji3]

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom