Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

2c8c1309473ea503d79f89d4d8f0baf9.jpg

*****!!!, yaani NBA saa nyingine kama mashindano ya UMISSETA. Dkk ya 3 vikapu vitatu tu
 
Ni mnigeria kuweni makini nae huwa wanatapeli sana! Wengi ni either agents wa betting companies au anauza tu tips so be careful wale wazoefu Twitter wapo kibao! Na wanajua ku edt results.
Mi naenda na mikeka ya deepond fresh[emoji3]

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] achaneni na huyo tapeli mtapoteza hela zenu bure!

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
King kanifanya nikope 30k Alafu mshkaj kwa dharau nkamuahidi nitamlipa 50k [emoji23][emoji22][emoji22]

Hahahahah saiv tumbo lazma ni la moto hao scammers ******* tu nlivosikia et anasema apewe euro 25 hapo ndio nkaona jamaa nae kanjanja tu
 
Hahahahah saiv tumbo lazma ni la moto hao scammers ******* tu nlivosikia et anasema apewe euro 25 hapo ndio nkaona jamaa nae kanjanja tu
Unaweza ukawa unacheka utadhani mazur kumbe ndio ulishaliwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom