Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

f8f5e839f2af3a5ab2c87aecd2fc9f58.jpg

Mchawi nani hapo
Alianza

Hana matokeo ya kuridhisha hivi karbuni.
 
Jamaa namchrkecha anasema baada ya game ya over 6.5 ya mchana walihack acc yake et kesho ana odd87 nkaona n muongo anataka pesa balaa

Nikajiuliza maswali HV unaweza kuwa na odd 87 ukalia njaaaa
 
FC Nantes - Paris St Germain
Over 3.5 cards (First Half)
8.31

Real Sociedad - FC Barcelona
Over 3.5 cards (First Half)
8.10

Tujaribu hapa Total Odds 67.31 hata kwa stake ya elfu 5 ya kutupa

Kadi nyingi sana Hizi Mkuu... labda kwa FT zaweza kutoka
 
Jamaa namchrkecha anasema baada ya game ya over 6.5 ya mchana walihack acc yake et kesho ana odd87 nkaona n muongo anataka pesa balaa

Nikajiuliza maswali HV unaweza kuwa na odd 87 ukalia njaaaa
Ha ha ha....
Imenibd tu nicheke
 
Jamaa namchrkecha anasema baada ya game ya over 6.5 ya mchana walihack acc yake et kesho ana odd87 nkaona n muongo anataka pesa balaa

Nikajiuliza maswali HV unaweza kuwa na odd 87 ukalia njaaaa
Trick ili ksho muende tena, na mkiliwa tena atawaambia wali hack tena
 
Back
Top Bottom