Duh,kwa matokeo hayaKapigwa la pili Barca,,,,hawa watoto ni moto
Mechi haijaisha mkuuBarca win sidhani.
Bet lost mapema [emoji23]
Inawezekana hata aliyepost mwanzo sio mwenyewJohn Sing anadai account ilikuwa hacked na kupost results zisizo sahihi
Hv zlkua Odd ngapi jumla hapo?Lyon draw
Sevilla lost
Arsenal lost
Man city lost
Dortmund draw
Barca ?
PSG ?
Yaani dah..watoto wamekomaa muhindi apige pesaDuh,kwa matokeo haya
Leo hii muhindi atalala vizur sana
Mi naona jamaa nacheza na akili za watu tu, ksho akipost mkipatia atasema yeye mwenyewe amepost na nxt day akipost mkikosa atawaambia alikua hacked si yeye tena.Inawezekana hata aliyepost mwanzo sio mwenyew
Dah inspiration story[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]King kanifanya nikope 30k Alafu mshkaj kwa dharau nkamuahidi nitamlipa 50k [emoji23][emoji22][emoji22]
Maccabi Haifa BC - Maccabi Ashdodshukrani baadae
Hii mechi ya Maccabi B Haifa v Maccabi
Ashdod ipe Under 165.5 ina odds 1.58
Muhuni tu huyo hana lolote.Mi naona jamaa nacheza na akili za watu tu, ksho akipost mkipatia atasema yeye mwenyewe amepost na nxt day akipost mkikosa atawaambia alikua hacked si yeye tena.
Mpwa, habar za jion.Hatareempwaa
Ha ha ha...Mi naona jamaa nacheza na akili za watu tu, ksho akipost mkipatia atasema yeye mwenyewe amepost na nxt day akipost mkikosa atawaambia alikua hacked si yeye tena.