Sioooweweee tu mimii nishashtukaaa uhuni anaoofanyaa mpwaaa..Mungu anamwonaa...naona anajitengenezea Leo acc Mara hacked lohMpwa, habar za jion.
Aisee, samahani sana kwa kutamka haya.
Ila honestly,
akili yangu inanambia bw.john sing ni muhuni flan HV kaingiza watu mitini
Ndio watu wawe makini, Kuna time zingine game inakua sio fixed ila mtu amepatia tu au ana zari la kuotea correct score sasa anatokea muhuni anakua anaokota kwake na kuwauzia watu ivyo inatokea kuna muda mnapata kuna muda mnakosaHa ha ha...
Hakosi visingzio
Yeah mkuu jamaa anatuchezea mind gameMi naona jamaa nacheza na akili za watu tu, ksho akipost mkipatia atasema yeye mwenyewe amepost na nxt day akipost mkikosa atawaambia alikua hacked si yeye tena.
Mpwa,Mchanaa tulikumbushanaaa
Barcaaa hiiileooo atoki
Ameshinda drw
Mpwaaaa nimeionaaa mchanaa ajamaaa mshenzi yukonjema inasikitisha watuwanapata buree wanaenda magrp yao wana fixdView attachment 675796
Mfano ni uyu jamaa Paul Merson aka Magician uwa anaziotea sana Correct Score lakini hasemagi kama ana fixed match, hata ya leo ya Arsenal aliiotea hii si umeona hapo. Sasa ka mtu kakimjua kanakua kanaokota kwake kanauzia watu kakisema fixed sa kuna time naye uwa anakosa so akikosa katasema kamekua hacked
Ndo maana kuna mdau humu alitahadharisha kua ni vema watu waende kwa tahadhari.Ndio watu wawe makini, Kuna time zingine game inakua sio fixed ila mtu amepatia tu au ana zari la kuotea correct score sasa anatokea muhuni anakua anaokota kwake na kuwauzia watu ivyo inatokea kuna muda mnapata kuna muda mnakosa
Real sociedad vs Barca
2&0-2. Odds 5
All The best
Hana lolote Huyo.Sioooweweee tu mimii nishashtukaaa uhuni anaoofanyaa mpwaaa..Mungu anamwonaa...naona anajitengenezea Leo acc Mara hacked loh
Yeah mpwa jamaa yuko vzuri, sema yeye huwa anatabiri EPL tu...na leo City na Arsenal zote aliziua ni mzuri kumfata kwa ushindi ila sio Correct score, though sometimes huwa anakosa sana tuMpwaaaa nimeionaaa mchanaa ajamaaa mshenzi yukonjema inasikitisha watuwanapata buree wanaenda magrp yao wana fixd
Dah! Mkuu siku ya ukistaajab ya bet utayaona ya king ule mkeka no.1 bahat mbaya lost sio mbaya lakn.Update.........
Wale wenzangu wa mkeka No.2
hawa jamaa wa volleball tushamalizana nao.
View attachment 675786
Mikeka No.2 bado unapumua vzur,Dah! Mkuu siku ya ukistaajab ya bet utayaona ya king ule mkeka no.1 bahat mbaya lost sio mbaya lakn.
Hongera sn mkuuMaccabi Haifa BC - Maccabi Ashdod
74 - 87
BET WON
Mkuuu mkeka namba mbili umetick ubarikkwe leo nimechek handball live kbsaaMikeka No.2 bado unapumua vzur,
Norway anaongoza
Set ya 2 sahv
Sure brother wameondoka na kaki yangu saaafi[emoji23] [emoji23]Ningeshangaa sn hii game kuisha bila kuwa na magoli mengi ... maana wote sio defensive teams ... ni wazee wa kufunguka.
Nadra sn kuona Real Sociadad hajatoa 2+, Barcelona likewise.