Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MKEKA WA KULALIA No.1

Odds: 2.19

Stake: 46,000 Tsh
Marejesho: 100,740 Tsh

Nb:
Uyo wa kwnz ni Tennis Australia Open Men
Uyo wa pili ni basket USA-NBA

Mapambano yanaendelea
Screenshot_20180115-004316.png
 
Dah! Nlkuw nimeshaanza kuipigia mahesabu hyo pesa nilikuw nmepanga ninunue pamba kali niwe kama akina jux na diamond platnumz hahahahaaa
Just joke [emoji23] [emoji23] [emoji23] ***** king kaenda na 30k yangu.
Pia kitu kingeweza kuitika na ukapiga pesa ndefu na siku nyingine ungeweza kuweka hata mara 100 ya hiyo pesa kwa sababu ungekua umejenga imani, shukuru kwa yote!
 
King kanifanya nikope 30k Alafu mshkaj kwa dharau nkamuahidi nitamlipa 50k [emoji23][emoji22][emoji22]
Pole sana chief, ndo pale tunarudi kwenye sheria ya hii biashara kua acha tamaa na kubali kupoteza ulicho teyari kukipoteza
 
MKEKA WA KULALIA No.2

Odds: 2.71

Stake: 45,000 Tsh
Marejesho: 121,950 Tsh

Nb:
Uyo wa kwanza ni basket Argentina
Uyo wa pili ni Teniss Australia Open

Mapambano yanaendelea
Screenshot_20180115-012706.png
 
Tuna tatizo kubwa sana la kupenda "mteremko". Kuna tipsters wengi ktk sports nao pia hawana uhakika wa 100%, John Sing anakwambka 100%, dah. Kweli akili za kuambiwa always changanya na zako.
Tuna tatizo la watu kutojiamini kwa mfano kwa tipster wanazo toa forebet hata wewe kama una web yako na una fanya utafiti wa maana unaweza ukawa na green nyingi kuliko wao, bora ya humu tunakutana wote wenye maslahi yanayo fanana
 
Nimeweka mikeka miwili kwenye bet history sioni je wale watalaam wa princess bet hii ni normal na pesa nimekatwa sasa huyu mhusika aniambia bet yangu ipo wanarekebisha mitambo tu
 
Nimeweka mikeka miwili kwenye bet history sioni je wale watalaam wa princess bet hii ni normal na pesa nimekatwa sasa huyu mhusika aniambia bet yangu ipo wanarekebisha mitambo tu
Hilo ni kweli ilwahi nitokea Mara 2 baadae ikaja kuonekana.
 
Back
Top Bottom