DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Well said.Tuna tatizo la watu kutojiamini kwa mfano kwa tipster wanazo toa forebet hata wewe kama una web yako na una fanya utafiti wa maana unaweza ukawa na green nyingi kuliko wao, bora ya humu tunakutana wote wenye maslahi yanayo fanana
Hzo tip za kudownload kuna tip ukiiangalia unaona kabisa hili ni Bomu LA nyuklia.
Forebet wanatip mbovu haswa.
Mpk huwa nawashtukia kua huwa wanafanya kusudi tu ili watu wapigwe PESA.





