DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Niko fit.Habari za asubui chief, naona uko vyema kabisa ushafungua ofisi
Tumepoteana, VP tatzo
Niko fit.Habari za asubui chief, naona uko vyema kabisa ushafungua ofisi
Zipo salama kabisaYeah lazma uangalie kama document zipo salama aisee.
Nyalaka zipo salama kwakweli.Zipo salama kabisa
Tunafukuzana na per diem chief visafari dar-moro dar-dom vimekua vingi chief wiki mbili hizi ofisini tuna miradi ktk iyo mikoaNiko fit.
Tumepoteana, VP tatzo
Liverpool vs Mancity results 4-3 (0:0) naomba ufafanuzi hapo kama ulibet Liverpool itashinda hapo utakuwa umewin hiyo bet? Hiyo (0:0) maana yake nn?
Ni kweli iko hivyo ulivyosema, asante!Hapo utakuwa umewin ... kwenye mabano huwa ni matokeo ya kipindi cha kwanza. Hata hivyo kipindi cha kwanza walitoka 1-1 ... nilitegemea kuona
Liverpool vs Man City 4-3 (1-1)
Atakua alicheza in play huyoHapo utakuwa umewin ... kwenye mabano huwa ni matokeo ya kipindi cha kwanza. Hata hivyo kipindi cha kwanza walitoka 1-1 ... nilitegemea kuona
Liverpool vs Man City 4-3 (1-1)
Ngoja tuchukue hii pesaMKEKA WA LUNCH HUO
Al maalum kwa Wazee wenzangu wa single bet kwny basket.
Twende kazini.
Odds: 1.43
Stake: 35,000 Tsh
Marejesho: 50,050 Tsh
NB:
Hyo ni mechi ya basket South Korea, SAA 7:00 mchana
Mapambano yanaendelea
View attachment 676004
KEB Hana W vs Hansae Woori WMKEKA WA LUNCH HUO
Al maalum kwa Wazee wenzangu wa single bet kwny basket.
Twende kazini.
Odds: 1.43
Stake: 35,000 Tsh
Marejesho: 50,050 Tsh
NB:
Hyo ni mechi ya basket South Korea, SAA 7:00 mchana
Mapambano yanaendelea
View attachment 676004
Mkuu kuna mkeka wetu umesha chanwa huko yaan king ametutia niksi tu.MKEKA WA LUNCH HUO
Al maalum kwa Wazee wenzangu wa single bet kwny basket.
Twende kazini.
Odds: 1.43
Stake: 35,000 Tsh
Marejesho: 50,050 Tsh
NB:
Hyo ni mechi ya basket South Korea, SAA 7:00 mchana
Mapambano yanaendelea
View attachment 676004
Ni ligi ya wa kina mama co??MKEKA WA LUNCH HUO
Al maalum kwa Wazee wenzangu wa single bet kwny basket.
Twende kazini.
Odds: 1.43
Stake: 35,000 Tsh
Marejesho: 50,050 Tsh
NB:
Hyo ni mechi ya basket South Korea, SAA 7:00 mchana
Mapambano yanaendelea
View attachment 676004
Pole sn,KEB Hana W vs Hansae Woori W
2 Way - OT incl.
Your Pick: OVER [127.5] 1.39
Sportpesa odd yao ndogo sana
Mkeka wa pili unapumua,just relaxMkuu kuna mkeka wetu umesha chanwa huko yaan king ametutia niksi tu.
Kwa hisan ya Deep pond bet inalipa sana hapa nna mpango wa ku draw pesa benk niongeze mtaji maana nmeona panalipa mno mkuu tamaa tu ndio inatuponza ila usipo kuwa na tamaa una make pesa ya kutosha.Mkeka wa pili unapumua,just relax
Hill ni kwel mkuuKwa hisan ya Deep pond bet inalipa sana hapa nna mpango wa ku draw pesa benk niongeze mtaji maana nmeona panalipa mno mkuu tamaa tu ndio inatuponza ila usipo kuwa na tamaa una make pesa ya kutosha.