ACCUMULATOR
Senior Member
- Mar 17, 2017
- 135
- 52
Mbona hii post ya John haikuja kwenye wall yangu ya Facebook? Wakati nimeanza kumfollow tangu jana?
Mbona hii post ya John haikuja kwenye wall yangu ya Facebook? Wakati nimeanza kumfollow tangu jana?
Majibu tafadhari!!!
Umeona mkuu! Akina Coke.Aisee match wanafix, kama nilikuwa nacheck game ya Levante na Celta Vigo.... Levante kapiga mashuti zaid ya 15 na amekosa chances za wazi kabisa mtu na goli kama 7. Kama hii game haikufixiwa ni nini?
Hahaha na uyo Coke kapiga sana makofi kwa fans baada ya game kuisha....yaani dhahiri kama vile alkua anajua anachokifanya mshenzi uyoo....Umeona mkuu! Akina Coke.
Mnacho kosea ni namba za sim nadhan ukifika kwenye namba za sim weka mfano 255756398452 sio +255756398452.Tangu jana nahangaika aisee nachat nao wanipe msaada kimya yani .....duh...pesa zinanipita tu!!za bure...kama una maelekezo nipatie mkuu itapendeza zaidi namna ya kujiunga maana naona kama nafanya kila kitu...ila mwisho wa siku kulog in inazngua....
Imetoa 7+ ndio 4_3,,ndani ya daika 11 goli zmeingia kama mvuaa....Majibu tafadhari!!!
UAMUZI MZURIYes Chief nimeachana na hiyo game kbs ...
Umeona mkuu! Akina Coke.
10 minutes X [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]
Hakuna pesa za bure kiongozi, ukiwa na mawazo hayo jiandae na stress za kuliwaTangu jana nahangaika aisee nachat nao wanipe msaada kimya yani .....duh...pesa zinanipita tu!!za bure...kama una maelekezo nipatie mkuu itapendeza zaidi namna ya kujiunga maana naona kama nafanya kila kitu...ila mwisho wa siku kulog in inazngua....
HahahahahahahahahaKwa hisan ya bengaluru
Vita hii ya kiuchumi dhidi ya kanji ni ngumu sana
Majibu tafadhari!!!
Vp liverpool vs man city nkiwapa kona over 8.5?Cadiz CF - Cordoba CF
Cadiz CF
Odds 1.78