Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nmewaza sn hilo mkuu,

Japokua ni mapema sn kumwita tapeli.

Akil yang inanambia,
Kuna mwekezaji ktk hz match fix.

Huyu anazinunua mechi kwa gharama.

Tena ukichungza ni mechi kutokana kwny ligi na timu zile hoi hoi kiuchumi.

MF: lech,matrezberg,etc

Baada ya kuzinunua,
Anachokifanya ni kutengeneza kwnz soko.

Hapa huwa na mawakala.

Hawa ndo hupenya kwny masoko na kuwafkia wateja.

Ili kuweza kuwin soko lake

Hapa huanza kuliteka soko kidg kidg kwa kutumia market penetration strategy.

Hii anaifanya kwa kujenga kwnz public trust kwny tips anazotoa.

Mf:
kwa kutoa ofa ya free winning tips kama alzotoa juz na Leo.

SOKO LIKISHAKAA SAWA, NA MTAJI NA FAIDA YAKE VIKARUDI.

NEXT,
TIPS ZINAZOFATA HAPO ZNAKUA NI MAGHUMASHI TU.



Huyu jamaa nahisi atakuwa mnigeria
 
Haswaaaa ... saiv kilichobaki ni kuomba Mkeka No. 1 wa DeepPond utoe ... maana nliucopy na kumuongeza huyu Cardiz ... yani leo ni mwendo wa kunyapianyapia nyota za watu humu kimya kimya ..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nakuonanakuonaaaaa
 
06f740c719ce0c650d12084792cca3ec.jpg
umeona hiz mech zilivyo ena 3+ haya siku nyingine zichezwe uweke over 2.5 ndio utakapo jua kuwa kuku nayeye huwa anatumia kondom? Hahahaaaa just for fun only.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha mkuu umeona eee Mimi nimejifanya kuwapa under 4.5 na under 3.5 kuna kimoja kinaniharibia utafikiri alikuja kichwani kwangu kunirubuni
 
Acha presha mkuu,

Hyo option nloweka hapo.

Inayatambua matokeo ya full time pekee.

And not Extra Time.

Labda km mkuu uliingiwa na tamaa ya big odds, ukaichakachua option nloweka hapo kwny mkeka.

****BET WON*****
View attachment 675262
Mie niliweka washinde, nna timu zangu hua nnawekeza kwa kufumba macho.
 
Wale waov ukiambiea stake wife arsenal
Utaki matokeooon kamahayaaa endelea kuangaliaajanaa na leooooo pesaaaaaaa
Screenshot_20180114-190347.png
 
Back
Top Bottom