JikoniMkeka wa leo Mzee.
Samahani Mkuu vipi kwa MTU mwenye mtaji Mdogo mfano 50000 unamshaur nn endapo anataka kucheza unavyocheza wwNilianzaga na mil1 nikatengeneza slots 10 za team mbili mbili tu zenye odds zisizozidi 1.5 na hizo slots hazitakiwi kuzidi match mbili. Nikawa nacheza option hizi (Handicap ya goli 2, 12 na 10mins draw hapa kuna muda slots mechi mbili zinaleta mpaka Odds 1.4 which is below 1.5) ktk kilo slots nilikua naweka 100K. Siku ya kwanza Slots zote zilizaa iyo ilikua mwaka jana mwezi wa 8. Nikachukua zao la kila slot nikalicheza tena hapa slots 9 zikazaa moja ikapotea. Ila kila wakati slots inapopotea uwa natafuta namna ya kui recover either kwa kuweka kijikokolo cha kimakini ili kufidia na katika kila mzao kama kuna faida zaidi ya nilicho expect huwa iko kiasi nakiundia slot pia (Faida inayokuja bila ku expect utokea iwapo slot nilizoweka zimezid Odd 1.5 hii inamaana kama ningeweka laki hapo nita expect 150,000/ lakini kuna muda unakuta slot inaleta Odds 1.8 inamana hapa italeta 180,000 hapo ina maana 30 niyo faida nayoisema siku i expect.
All kikubwa kuna rules zangu nilizojiwekea na huwa nafata hizo
Good advice,.
Hebu na mm niongezee kdg hapo,
Tamaa ni adui mkubwa
Ni kweli kiongozi Betting haitaki tamaa ni bora update faida kidogo kwa mzunguko wa kila siku
Ndio kaka naona huu ndio mpango mzima nami nachukua hatua aiseeNGOJA NIRUDIE ILE TABIA YANGU YA POINT MBILI KWANZA
POINT MBILI HIZO HAPO!!
-BORUSSIA DORTMUND (2.5 over)
-LYON (2.5 over)
Samahani Mkuu naomba ushaur tafadhali Mimi kanuni yangu kila Siku kujikumbusha mwnyw kuwa hata kama no mia tano nimeingiza nashukuru kwani sikuwa nayo hiyo mia tano naomba unishaur nifanyaje kupitia biashara hii angalau niingize japo elfu saba tu kila cku samahani kwa usumbufuGood advice,.
Hebu na mm niongezee kdg hapo,
Tamaa ni adui mkubwa sn wa hii kazi.
Pata faida kidg kidg huku ukiwa na mzunguko mkubwa.
Hiyo ndo principle kuu ya biashara yoyote zenye mafanikio duniani.
Ni muhimu sn kuziheshimu na kuzifuata kwa umakin wa hali ya juu sheria&taratibu ulzojiwekea ktk betting.
Mwisho ,
BETTING ITS REAL BUSINESS.
SUCESS IN THIS BUSINESS, ITS ONLY FOR SERIOUS INVESTORS.
Huyu anaweza akarud nimemfata inplay 1X [emoji109]Huyu naye sijui amefanya match fixingView attachment 675263
Wanaweza kurudi haoHuyu naye sijui amefanya match fixingView attachment 675263
Princess ajatoa opt to yote hapo zaid ya 3 way
Hawana issue saiv hao anatoa tips 6 zinazo win 3 wanaweza kukulaza njaa hao.Mkuu tuletee wale jamaa zako wa Winning Gang tuwasome
Hata SportPesa naona wamestukia mchezooo...pumbaavu kabisaPrincess ajatoa opt to yote hapo zaid ya 3 way
Mr wise. Wew una busara sana. Nakukubali sana. Hili group limekuwa kama familia kwangu. Natafuta mtaji wa 500k ili nianze kaz officially.View attachment 675256
Na huu ndio mfano wa namna team navyozipangilia ktk hizo slots Cc troublemaker
Kila kampuni hii game kanji kaistukia wanaweka 3 way tuuu
Duh John Sing jana kaingia mitini leo naona karudi tena[emoji38]Kila kampuni hii game kanji kaistukia wanaweka 3 way tuuu
Daah ***** kanji kaibana hii gameDuh John Sing jana kaingia mitini leo naona karudi tena[emoji38]