Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

bhana nimekalishwa vibaya asee huu mkeka nilikua nauweka mavi yanagonga boxer yanarudi rohoni naambiwa napoteza ila basi kutojisikilizaa faken Mimi ...
Mimi fala sana.
 
bhana nimekalishwa vibaya asee huu mkeka nilikua nauweka mavi yanagonga boxer yanarudi rohoni naambiwa napoteza ila basi kutojisikilizaa faken Mimi ...
Mimi fala sana.
Tamaa mkuu mi mwenyewe yamenikuta leo aisee yaan ni ufala kabisa ukiona mihela mingi unadata yaan nikiliwa nacheka mwenyewe tu dah kanji mchawi sijui.
 
MAPAMBANOO YANAENDELEA KUDONDOKA SIO KYANGUKA MSIKATETAMAA LESHONAYOSIKU
 
Porto imesha chezea kitasa huko kwasha habar yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…