shinga
Senior Member
- Jan 6, 2017
- 196
- 113
Hakuna kukata tamaaaNaona kfarsaba kachezea kichapo.
Msikate tamaa,
Mapambano ni lazma yaendelee.
Hakuna kukata tamaaaNaona kfarsaba kachezea kichapo.
Msikate tamaa,
Mapambano ni lazma yaendelee.
Ndo Yale ya PSV juz juz tu hapaTatzo letu basi tu lakn wadachi na waisrarl na wataliano wote wacheza bet
Hao watu ni kuwadelete tu sasa hivi au kuwaeiea stake ndogo maana ni mbwaNdo Yale ya PSV juz juz tu hapa
Ndo Yale ya PSV juz juz tu hapa
Mkuu inasemwa humu kwa kuna goli mbili za home team zimefutwa na pengine game ilikuwa fixed match. Nimeichambua hii game na sikuona ushindi kwa home team na nilitegemea draw yoyote ya magoli yasiyozidi mawili. Binafsi niliwapa 0-0 FT na nika stake buku tu. Nashangaa 87mins goli kwa away[emoji32] . Nakuwekea screen shot na slot hiiNaona kfarsaba kachezea kichapo.
Msikate tamaa,
Mapambano ni lazma yaendelee.
Mi naweza achana nayo kabisaaaa maana ndio inayo nipiga mpunga aiseee.Dah,.H.kfarsaba kaharibu sherehe yetu.
Uyu jamaa alkua keshatick
Football betting sometimes inakera sana.
View attachment 676685
Leo mikeka mingi inaweza chanika aisee Mr.wise slot yake ya 10 mins duh! Kwel kanji is the Beast.Man Utd 1