911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,469
- 4,312
itabidi uongoz uache ki memo kuwa tukutane wapi vinginevyo hali itakua tete.Sijutiii kuwa member huku. Hivi ukiamka siku ukasikia jf imegungiwa utafanyaje?. Lets have plan b
kipindi kile mtandao huu umeshambuliwa watu tulipata wakati mgumu sana