Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Mkuu United wataenda na hii pesa kama aujacheza usiweke
Mkuu United wataenda na hii pesa kama aujacheza usiweke
Mkuu United wataenda na hii pesa kama aujacheza usiweke
Ushauri tafadhali
Porto win
Olympiakos win
Manchester united 1x
Nasubiri Slot namba 2Slot No.1
GD Estoril Praia - FC Porto
FC Porto
1.25
Betis Sevilla - CD Leganes
1/X
1.26
Walifix levante 1 celta 2Aisee match wanafix, kama nilikuwa nacheck game ya Levante na Celta Vigo.... Levante kapiga mashuti zaid ya 15 na amekosa chances za wazi kabisa mtu na goli kama 7. Kama hii game haikufixiwa ni nini?
Mkuu samahani,naomba unieleweshe hapo unapotaka kuplace bet inaleta mfumo wa bet huwa sielewi,sijui mfumo1,2,3
mkuu yawezekana muamala hujaukamilisha, kamilisha kwanza muamala pesa yako itaonekana kwenye account yako. hata Mimi mwanzoni ilikuwa inanipa shida. tumia m.pesa kwa usalama na uhalisi zaidiKudeposit pesa na imechukuliwa
Iko safiUshauri tafadhali
Porto win
Olympiakos win
Manchester united 1x
Yaan me hyo huwa sibet kwa princess coz ya kushindwa kuelewa hilo jamboMkuu kwa kweli na mm huwa sizielewi ...mi huwa nachagua hiyo ya single bet ... nafikiri nyngne ni km unataka stake unayoweka iwe kwa kila bet.
Mkuu hii option ya Man U achana nayo, man U atashinda
Yaan me hyo huwa sibet kwa princess coz ya kushindwa kuelewa hilo jambo