Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu yawezekana muamala hujaukamilisha, kamilisha kwanza muamala pesa yako itaonekana kwenye account yako. hata Mimi mwanzoni ilikuwa inanipa shida. tumia m.pesa kwa usalama na uhalisi zaidi
Mkuu pesa imeenda na meseji imerudi kwamba nimefanya muamala online zaidi ya masaa 2 haisomi wameanza kama Meridian sijui?
 
Kanji kachanganyikiwa game ipo 2-0 dk 38. Nimemfuata na Hapoel Kfar Saba WIN kwa Odds 2.5.! Kwake inaonyesha 0-0 dk 38. Leo atajuta.

IMG_0092.jpg
 
Slot No,2

Manchester Utd - Stoke City
Manchester United
1.22

Moreirense FC - Vitoria Setubal
Under 3.5 goals
1.18
 
Wadau nendeni online mcheze hii game ya Hapoel Kfar Saba! Game ipo 2-0. Ila option ya Over 1.5 goals ipo active na ina odds tamu balaa...
 
Back
Top Bottom