Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Kweli nimeangalia game za lamia goal nyingi kufungwa ni 4, hata PAOK alimpiga nne. Nilikuwa nafikiria kuweka HT over 0.5 nikavutiwa na hizo odds za under 4.5
Sawa Chief ... all the best mkuu ! kwa kuwa muda wa game bado sn, nitakujoin kwa baadhi ya games hapo ... hasa kwa Oss, Maccabi na Porto