Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
mkuu naomba updates ya basket ya Wakorea hao...wamefikisha vikapu vingapi?Hongera mkuu naona jamaa wa Tennis kakupa ulichohitaji
mkuu naomba updates ya basket ya Wakorea hao...wamefikisha vikapu vingapi?Hongera mkuu naona jamaa wa Tennis kakupa ulichohitaji
Download sofascore ni nzuri sana kutoka na uzoefu wangu mimi pia sio mbaya ukiwa na flashscore maana guna gemu inaweza isiwepo sofascore ikawa flashscore and vice versaDuuh aisee....hali ni tete...app gani inaapdate live basket hio nami niwafuatilie...hao
Hapana mkuu sikustake,hio app jama yangu alkua anantumia izo Coupons whatsapp...si unajua ile kuchukulia poa...moja kati ya coupon ambazo ndo hio...ikatoka...hahaaKwahyo zoooote ulizipiga mkuu?
K-Vant mchana wote huu Mzee?[emoji134] [emoji23] [emoji119]Yes Chief ... leo InPlay raha sn. Niko na laptop hapa pembeni K-Vant moja hatareeee sn... ni mwendo wa kuingiza pesa huku nanyonya vitu.
Ni bora uwe unachukulia poa hivyohivyo mkuu unaweza pigwa mpunga mrefu hivihivi unajiona tamaa sio mchongo hahahaaaa usije ukaanza omba hata buku humu ya kuanzia kama jamaa mmoja hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana mkuu sikustake,hio app jama yangu alkua anantumia izo Coupons whatsapp...si unajua ile kuchukulia poa...moja kati ya coupon ambazo ndo hio...ikatoka...hahaa
Kaka odd 200 izo nkiweka sana labda buku ya ushahidi tu hahaaaNi bora uwe unachukulia poa hivyohivyo mkuu unaweza pigwa mpunga mrefu hivihivi unajiona tamaa sio mchongo hahahaaaa usije ukaanza omba hata buku humu ya kuanzia kama jamaa mmoja hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wale wenye moyo mgumu kaeni mkao wa kula maana hii tip inaenda kutoa na ilikua na odds 2.8 wakati jamaa wa home anaongoza 1 na 2 quarterKama una moyo mgumu kwenye hiyo game ya kikapu, away team anawin hii mechi.....stake as if umehonga hiyo pesa so usiwe na matarajio nayo, Kwa upande wangu siweki maana nipo kwenye harakati za kukuza mtaji
flashscore ninayo ila hio game wameiandikia Final results only yan mapaka itapoisha ndo wataupdate matokeoDownload sofascore ni nzuri sana kutoka na uzoefu wangu mimi pia sio mbaya ukiwa na flashscore maana guna gemu inaweza isiwepo sofascore ikawa flashscore and vice versa
Kweli nimeangalia game za lamia goal nyingi kufungwa ni 4, hata PAOK alimpiga nne. Nilikuwa nafikiria kuweka HT over 0.5 nikavutiwa na hizo odds za under 4.5Hofu ni kwa Olympiacos tu hapo asije taka sifa ... otherwise mkuu hii ni hela ambayo inakusubiri uichukue tu ! mimi options za "under" huwa sizipendi naturally. ... maana kuna mitimu huwa inataka sifa sn.
K-Vant mchana wote huu Mzee?[emoji134] [emoji23] [emoji119]
Wanahesabu vikapu vyoteHivi inakuaje kabla mechi ya kikapu aijaanza labda option ya Over 127.5 inapewa odd 1.43 alafu ukiifata inplay option hiohio inapanda na kufika labda odd 1.68....
Nashindwa kuelewa je watahesabu vikapu tangu mechi imeanza au we ukicheza inplay watakuhesabia vikapu mara baada tu ya wewe wa inplay kulipia ule mkeka?
mkuu naomba updates ya basket ya Wakorea hao...wamefikisha vikapu vingapi?[Imeshatoa mkuu kale makange
Hapo ndo umuhimu wa kuwa na sofascore maana sofascore wanaonesha matokeo ya hii gameflashscore ninayo ila hio game wameiandikia Final results only yan mapaka itapoisha ndo wataupdate matokeo
Sofa score ina uchambuzi wa kutosha naikubali sanaHapo ndo umuhimu wa kuwa na sofascore maana sofascore wanaonesha matokeo ya hii game![]()
Weka mkeka tutambae naoKuna game za tennis VP Tsonga anaweza kuchukua