Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Ngoja nikamchungulie ikinipendeza nitakufuata mkuu
Poa poa Chief .. japo saiv naona km spidi imepungua. Tuzidi kuomba maana akishinda set hii tu basi itakuwa WON !
Ngoja nikamchungulie ikinipendeza nitakufuata mkuu
Dah naona wameshamtoa asee, hawa jamaa kuna namna wananusa humuSafi mkuu ... mm nasubiri hii game ya Tennis huyu anayeongoza akishinda hii set ndo niwekeze hapo kwny kikapu. InPlay ina raha yake flan hivi ...
View attachment 676110
Dah naona wameshamtoa asee, hawa jamaa kuna namna wananusa humu
Dah hatari sana mkuu hiyo ni zero bet nini?Hatimae bet wooooon ningejua zinakujaga baadae kuwa ningejitungua heheeeee![]()
YeahDah hatari sana mkuu hiyo ni zero bet nini?
Hii sio mchezo mzazi...hongera sanaHatimae bet wooooon ningejua zinakujaga baadae kuwa ningejitungua heheeeee![]()
Na tamaa inaponza sana hasa Inplay maana kuna muda unaweza ukapiga pesa ndefu sana na ukatamani kui double mwisho wa siku ukajikuta unawarudishia pesa yao yote, unabidi kuidhibiti sana tamaa yako. Kuna muda muda inabidi ujiambie kwa leo hii yatoshaKwa hisan ya Deep pond bet inalipa sana hapa nna mpango wa ku draw pesa benk niongeze mtaji maana nmeona panalipa mno mkuu tamaa tu ndio inatuponza ila usipo kuwa na tamaa una make pesa ya kutosha.
Asante mkuuDah hatari sana mkuu hiyo ni zero bet nini?
Ndio kitu ninacho kifanya kwa sasa.Na tamaa inaponza sana hasa Inplay maana kuna muda unaweza ukapiga pesa ndefu sana na ukatamani kui double mwisho wa siku ukajikuta unawarudishia pesa yao yote, unabidi kuidhibiti sana tamaa yako. Kuna muda muda inabidi ujiambie kwa leo hii yatosha
MaombiiisanaQatar wameshatupia goli la pili huko.....tuendelee kuomba mungu
Odds zinabadilika kulingana na hali mchezo ilivyo so vinahesabika vikapu vyote, unajua nini sio sisi pekee tunabet na muhindi nae anabet kwasababu na yeye hajui matokeo ya mwisho yatakuwajeHivi inakuaje kabla mechi ya kikapu aijaanza labda option ya Over 127.5 inapewa odd 1.43 alafu ukiifata inplay option hiohio inapanda na kufika labda odd 1.68....
Nashindwa kuelewa je watahesabu vikapu tangu mechi imeanza au we ukicheza inplay watakuhesabia vikapu mara baada tu ya wewe wa inplay kulipia ule mkeka?
vinaesabiwa vikapu vyote kuanzia mwanzo..io inatokana na muonekano wa game kama itakua na vikapu vichache au vingi so odds hubadilika.Hivi inakuaje kabla mechi ya kikapu aijaanza labda option ya Over 127.5 inapewa odd 1.43 alafu ukiifata inplay option hiohio inapanda na kufika labda odd 1.68....
Nashindwa kuelewa je watahesabu vikapu tangu mechi imeanza au we ukicheza inplay watakuhesabia vikapu mara baada tu ya wewe wa inplay kulipia ule mkeka?
Odds hubadirika kutokana na hali yagemu inavyoendeleaHivi inakuaje kabla mechi ya kikapu aijaanza labda option ya Over 127.5 inapewa odd 1.43 alafu ukiifata inplay option hiohio inapanda na kufika labda odd 1.68....
Nashindwa kuelewa je watahesabu vikapu tangu mechi imeanza au we ukicheza inplay watakuhesabia vikapu mara baada tu ya wewe wa inplay kulipia ule mkeka?
Hahaa nipe updates Vikapu ngap ngp mpka sasa huko??Kama una moyo mgumu kwenye hiyo game ya kikapu, away team anawin hii mechi.....stake as if umehonga hiyo pesa so usiwe na matarajio nayo, Kwa upande wangu siweki maana nipo kwenye harakati za kukuza mtaji