Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

c4107027d61ecccfcf915e00092e5db1.jpg
Watu wamemshitukia king huko tayari.
 
MKEKA WA LUNCH UMENIPITA IMENIUMA SANA..MAANA KILA NIKIPLACE BET INANIAMBIA 1 MARKET INACTIVE DUUH....MPAKA SAA 7 KAMILI IMEFIKA [emoji22]

Cc; DeepPond
 
Toa mfano
Kwa mfano kwenye inplay princess wanakupa option moja tu ya kuchagua na muda mwingine wanakua wameifunga na haujui kama wameifunga mpaka ui stake ndo unaujua kua wameifunga ila 1xbet kama option imefungwa unaona kufuli kwenye option (huu mfano unalenga hasa kwenye basketball)
 
c4107027d61ecccfcf915e00092e5db1.jpg
Watu wamemshitukia king huko tayari.



Tuendeleeni na maisha yetu ya humu humu ... mbona yanatosha sn. Tuna wabobevu wa kutosha kbs humu, ambao km ukitulia na kuifanya seriously, huwezi kukosa odds 2-3 humu daily.
 
MKEKA WA LUNCH UMENIPITA IMENIUMA SANA..MAANA KILA NIKIPLACE BET INANIAMBIA 1 MARKET INACTIVE DUUH....MPAKA SAA 7 KAMILI IMEFIKA [emoji22]

Cc; DeepPond


Ifuate InPlay km ipo mkuu ... tena huko unaweza kushangaa unakutana na odds kubwa kidogo ya ile ya awali.
 
Nimeifuata over 124.5 odds 1.83 ngoja tuone kama itawapendeza kutupa hizo pesa


Safi mkuu ... mm nasubiri hii game ya Tennis huyu anayeongoza akishinda hii set ndo niwekeze hapo kwny kikapu. InPlay ina raha yake flan hivi ...


upload_2018-1-15_13-18-50.png
 
e5e5acdf74dc8446a193007a206b8a28.jpg
Hatimae bet wooooon ningejua zinakujaga baadae kuwa ningejitungua heheeeee
 
Back
Top Bottom