I-NGOSHA
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 496
- 182
Sio kweli, juzi Man U wamefunga dk ya 9Option rahis dunian n moja tu... 10 min X ... hii weka hata salary utakula 100% sure
Sio kweli, juzi Man U wamefunga dk ya 9Option rahis dunian n moja tu... 10 min X ... hii weka hata salary utakula 100% sure
Its okay, tupo pamojaOoh,sorry
Nlicheck viby
Kama haujagundua sio kila game muhindi anaweka iyo option Mkuu.....kwa leo naona Under 3.5 ilikua inalipa maana karibu game zote za ushindani ligi mbali mbali so far UNDER 3.5 imetawala na option hii huwa haikosi kuwekwa![]()
Hawa wote wametoa 10 min X... odds tatu hiz za bure.... ndo maana nasema 100% uhakika hii option....
Wamefunga 1.0Marseille hadi penati wamekosa
mbaya zaidi ni pale inapoliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani uweke milioni ili ule elfu kumi? bora nikatafute pikipiki iliyotumika nile alfu 5 kwa siku
Wee utakua umeanza kubet leo![]()
Hawa wote wametoa 10 min X... odds tatu hiz za bure.... ndo maana nasema 100% uhakika hii option....
Meridian ipo boss... kila game..na under 3.5 kila game. . Sijajua unasemea muhind yupi huyo hanaKama haujagundua sio kila game muhindi anaweka iyo option Mkuu.....kwa leo naona Under 3.5 ilikua inalipa maana karibu game zote za ushindani ligi mbali mbali so far UNDER 3.5 imetawala na option hii huwa haikosi kuwekwa
Wapuuz sana, wametubalansia vikapu vinne.
Oooh okay!!Alafu Meridian sio muhindi.....ila nimekupataMeridian ipo boss... kila game..na under 3.5 kila game. . Sijajua unasemea muhind yupi huyo hana
Kwann bossWee utakua umeanza kubet leo
We acha tu, nilikua nacheki iyo quarter ya mwsho naona vikapu hata havisogeiWapuuz sana, wametubalansia vikapu vinne.
Game zote za FA zimetoa 10 min X.. narudia tena hii option n sure 100% huwez liwaWee utakua umeanza kubet leo