Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Game zote za FA zimetoa 10 min X.. narudia tena hii option n sure 100% huwez liwa
Ww hyo option ni baht nasibu teba sana sio kila match unaweka mara kibao inacost labda kwa timu zenye ukabaji mkali kama za waraab wahindi etc
 
Kaka meridian kila match ipo.. am talking from my experience baada ya kuigundua hii option sijawah liwa... huu mwaka wa 2 sasa.... kila siku nakulaa. Daily
 
Game zote za FA zimetoa 10 min X.. narudia tena hii option n sure 100% huwez liwa
Unakosea sana unaposema ni 100%, ni kweli iyo option na ile ya No Red card zina % kubwa ya ushindi lakini usiwaaminishe watu kua ni 100%. Nakupa mfano jana mimi nimecheza iyo option game ya Man U na still Muhindi ameondoka na laki yangu. Tho sijakoma leo nimecheza ktk slot moja imeshatoa
 
8ce27f8abd29d17ed3382ea4e98c43cc.jpg
 
Game zote za FA zimetoa 10 min X.. narudia tena hii option n sure 100% huwez liwa
Wee ndo maana nakwambia umeanza kubet Leo.

Unaikumbuka hii mechi ya J.mosi?

Ungeweka hyo option yako.

Kama usingetembea na boxa kichwani..

DKK 9, zishaingia goli 3
Screenshot_20180116-232422.png
Screenshot_20180116-232432.png
 
Unakosea sana unaposema ni 100%, ni kweli iyo option na ile ya No Red card zina % kubwa ya ushindi lakini usiwaaminishe watu kua ni 100%. Nakupa mfano jana mimi nimecheza iyo option game ya Man U na still Muhindi ameondoka na laki yangu. Tho sijakoma leo nimecheza ktk slot moja imeshatoa
Mkuu,
ndo maana namwona uyu ndugu kaanza kubet juz juz tu hapa.

Hajui hata maana ya 100% probability anayoiongelea.
 
Back
Top Bottom