Kankra
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 203
- 140
Ahsante mkuu Be blessedPoa,
No.3
Naona nao unapumua vzur
Ahsante mkuu Be blessedPoa,
No.3
Naona nao unapumua vzur
Oya huyu nae john singh achaneni nae wakala wa kanjiHakuna option rahis ww usi udanganye umma apa jana tu tume toka kuweka mechi ya Man utd 10min X valencia kafunga dk 9
Leo umemfata mkuuOya huyu nae john singh achaneni nae wakala wa kanji
Kwa haya matokeo mpk kufkia hivi sasa.MKEKA WA PESA No.1
Odds: 3.52
Stake: 43,000 Tsh
Marejesho: 151,360 Tsh
NB:
Hyo wa 1 ni basket- Euro league
Huyo wa 2&3 ni basket-Uefa
Mapambano yanaendelea
View attachment 677080
Ahsante mkuuKwa haya matokeo mpk kufkia hivi sasa.
Officially, confirmed.
****BET WOOOOOOON*******
View attachment 677578
Tuko pamojaAhsante mkuu Be blessed
Safi sn,
NauandaaAhsante mkuu
Sijui upo wa supu asubuhi au nilale
Cameroon amesha fungwa goli moja. Matokeo yakibaki hivyo hivyo utakuwa bado unapumua?Nauandaa
Relax,Cameroon amesha fungwa goli moja. Matokeo yakibaki hivyo hivyo utakuwa bado unapumua?
Mkuuu hawa waafrica ni handicap za 0:2 maana hawaaminiki usuke mwingine wa kumtandika huyu kanjiRelax,
Wanachomoa ili goli
OkMkuuu hawa waafrica ni handicap za 0:2 maana hawaaminiki usuke mwingine wa kumtandika huyu kanji
Acha kuwaaminisha watu habar sizo aisee mwsho wa siku tuta kuona wakala wa kanji hakuna option ya uhakika 100%Boss hii option ina leagues zake sio kila games au friendly matches uhakika n 100%..
Share nasi iyo mikeka ya 10min x droo otherwise maneno yakiwa meng ntakuona poyoyoNaongea from my experience uhakika n 100%.. sema watu hawajui tu