Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa wote wametoa 10 min X... odds tatu hiz za bure.... ndo maana nasema 100% uhakika hii option....
 
Kama haujagundua sio kila game muhindi anaweka iyo option Mkuu.....kwa leo naona Under 3.5 ilikua inalipa maana karibu game zote za ushindani ligi mbali mbali so far UNDER 3.5 imetawala na option hii huwa haikosi kuwekwa
 
Meridian ipo boss... kila game..na under 3.5 kila game. . Sijajua unasemea muhind yupi huyo hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…