Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ANDIKA smart betting tips zinazokuja hesabu ikifika yatano bebà imeandikwa daily winning tips..inayofwata rayz nayobebaaa
 
Rubley andrey win odd 1.4
Kyrgios, Nick win odd 1.08
Dimitrov, Grigor win odd 1.05
Total odd 1.6
Rubrey kwny hard ni mbovu,

amekua akifungwa sn kwny hard na players ambao kwny ranks ni dhaifu sn.

Kinachombeba ni rank alokua nayo, ambayo ameikuza sn kwa kuperform well kwny clay&grass.

Huyo mwnzie yuko chini kwny rank, Ila kwny hard anaperform vzur sana .

Na ni mzoefu sn huko.
Na kuna baadhi ya wakubwa wameastruggle sn kupata matokeo kwake.

Hiyo game ni 50/50

Haeleweki Nani atashnda hapo.

ILA HUYO KYRIGO, SINA WASIWASI NAE.

YUKO ON FIRE THIS MOMENT
 
ANDIKA smart betting tips zinazokuja hesabu ikifika yatano bebà imeandikwa daily winning tips..inayofwata rayz nayobebaaa
mkuu, walah nimeikosa app hiyo cz zipo nyingi. hebu weka screen shot ya logo yake nione or share link
 
Rublev anaongoza first set.tuombe mungu
Pia dimitrov atashinda 3.0 inaanza baada dakika kumi
 
Soka ni tamu sana sema siku hizi hiz kampun za kubet zinacheza sana timu wananunua mech sana ndio ubaya wake huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…