Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu, walah nimeikosa app hiyo cz zipo nyingi. hebu weka screen shot ya logo yake nione or share link
Mwambie akutumie link then iyo link itakupeleka moja kwa moja app store kwenye hiyo App.
 
Bwana mkubwa kwema[emoji23] [emoji23] me soka nimeacha kabisa Jana nice nimempa corner 3.5 hajatoa kwa 50k mzee can you imagine[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa yaaaan mi sina ham aisee mambo hayaendi saiv mhindi anahonga pesa.
 


Habar wadau naomba muongozo juu ya hii option ya

first goal Interval 10 minutes


So mfano nikieka opition ya dakika 71-80. Katika muda huo goal linatakiwa liingie au?
 
Tuhamie basketball ya marekani mzee vingine uchawi tu
Hahahaaaa dah! Ngoja niangalie kama nitaiba pesa muhindi kaondoka na mtaji na mm sina biashara yeyote aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana haihitaji jazba ni kuwa wavumiliv hio ndio betting ukileta jazba utaumia
Kweli mkuu hili limenipata leo alfajiri NBA baada ya kipigo nika panic nikatupia tena nikala za uso mara 2[emoji1] [emoji1] [emoji1] bet haiitaji hasira utulivu wa hali ya juu ndo msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…