Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mdau huku alikuwa anasema eti dk 10 x nikazi nyepesi Leo bhana nimkuta psg kapewa 1.44 nikajaribu kilichotokea dk ya 4 tu kamba


Kuna mechi na mechi za kucheza hiyo option mkuu ... sio kila mechi. Hizi ni baadhi ya mechi za kucheza hiyo option ...

Spain:

- Atletico Madrid
- Atletico Bilbao
- Villareal
- Espanyol

France:

- Montepellier
- Nantes
- Lille

Italy:

- Sassuolo
- Inter Milan
- Fiorentina
- Juventus

England:

- Burnely
- Man Utd

Hizo ni baadhi ya timu ambazo ukicheza hiyo option una nafasi kubwa ya kushinda. Team zote ambazo ni defensive though inategemea pia inacheza na timu gani. So usigeneralize kuwa ni option simple kwa kila mechi. Mfano Man Utd anaweza cheza na kibonde flan huko ... na goli likapatikana mapema.
 
Hahahaaaa buddy imebidi niende chookikubwa umenikumbusha arsenal wangu loh
Chelsea na barca wanashinda
 
Hawa Barca ovyo kweli...wanakwenda na pesa yangu, nimewapa wafunge moja tu halftime naona Messi anaruka ruka ili niliwe
 
Chelsea vs Norwich City
Score: 1 - 0
Min: 55

[emoji460] Goal!!
Chelsea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…