Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
Soon ntakuja huko
Njoo mkuu! You’ll never regret
Soon ntakuja huko
Bora kucheza in play over\under kwenye quarter yoyote..
Yeah najua ila ni bora zaidi ya direct win kwa wakati huu!!Not all the time! Hata INPLAY unaweza kuchezea vitasa....
Not all the time! Hata INPLAY unaweza kuchezea vitasa....
Tupe mechi za leo kwenye Kikapu
Mkuu nimecheza game za ufilipino cup.! Naelekea kuchezea vitasa mkuu! Pesa nilitongeneza INPLAY inanitosa! Let me quit and wait for NBA tonight
Yeah najua ila ni bora zaidi ya direct win kwa wakati huu!!
Namanisha ni bora in play zaidi ya direct win sasa ivi asee Jana Cleveland quarter ya kwanza na ya pili walikuwa moto...Hata direct WIN inaweza isiwe nzuri kwa usalama wako.!
Namanisha ni bora in play zaidi ya direct win sasa ivi asee Jana Cleveland quarter ya kwanza na ya pili walikuwa moto...
Wametoka break nikajua kuna vikapu zaidi kucheki dakika ya 3 quarter ya 3 naona vikapu 10 afu wamewapa in play 3quarter over\under 60.5 sasa unategema nilifanyeje mkuu kama sio kuweka under??[emoji23] [emoji23]
Hakuna option safe 100% we just trust our inner voice...[emoji12]
Hata mie wafilipino wamenipa za uso 3rd Q wanezingua mbaya! Naunga mkono hoja, INPLAY inalipa! Ila siyo guaranteed! Unaweza kuchezea za uso...
Hakuna option safe 100% we just trust our inner voice...
Goli la dk za majeruhi... Zile dk tatu za refa, lipatikane angalau one half.kuna hii OPTION
injury time goal in atleast one half:YES sijaelewa hapa
Wew unaitoa pesa yako yoote au wanakata kiasi na kuiludisha pesa yak uanafanyaje mkuu msaad plz vip hawa jamaaa wana kutuluboMfano umebeti mechi ila inaonekana mkeka unaweza chanika unaweza kutoa pesa huku mechi inaendelea
Mkuu kuna hii option ya handcap huwa siielewl FT(+/- 3.5) win. Inakuwaje hii.Mkuu tupia TIPS za 1xBet twende sawa...!
Pesa ya Japan U23 v Uzbekistan U23 kairudisha Adelaide 73ers vs Illawarra Hawks na faini juu [emoji16]
Sure bro!!Safi mkuu! Wewe ndiyo umesepa ukweli! Achana na jamaa anasema anabet for 4 years etih direct win ndiyo guaranteed kwenye Basketball! Nikaona nimwambie kila la kvetching tu.
Probability is always dynamic, it has never been static! —
Mkuu kuna hii option ya handcap huwa siielewl FT(+/- 3.5) win. Inakuwaje hii.
siyo yote wanapiga hesabu na pia inategema na point unaweza ambiwa unakula kali moja ila uka ka cash out elfu 30 inategemeaWew unaitoa pesa yako yoote au wanakata kiasi na kuiludisha pesa yak uanafanyaje mkuu msaad plz vip hawa jamaaa wana kutulubo
Ukiclick hiyo option! Unajaza namba ya simu ikianza na Mfano: 255 714 1...........! Then Minimum amount, baada ya hapo unakamilisha process. Then unaenda kwenye menu ya Kawaida ya Tigopesa unaclick namba 4, then kumbukumbu namba 400700 then unaandika 0081bet then kiasi ulichoingiza mwanzoni! Unamalizia na password, muamala unakuwa umesoma!
Natumaini utakuwa umenisoma, siyo expert sana wa 1xbet ndiyo nimeingia leo!