Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Kinachonichanganya ni hiyo minus na plus. Unakuta kawekewa -/+ alafu win.Ni kama Handicap ya Football! Hiyo +/- 3.5 points ni Total Points ambayo utachagua kwa timu husika...!
Kinachonichanganya ni hiyo minus na plus. Unakuta kawekewa -/+ alafu win.Ni kama Handicap ya Football! Hiyo +/- 3.5 points ni Total Points ambayo utachagua kwa timu husika...!
Hawa waphelipino sijui wamekula maharage ya wapi Dk 48 wanashindwa kutoa vikapu 192 ilihali wa Australia (Adelaide) Dk 40 wametoa vikapu 200 na upuuzi.
Ndugu yangu, wacha tu! Ngoja nilambe likizo kusubiri NBA usiku kama nitapata game kadhaa!
Ila kwanza uangalie kama kukiwepo Ben Simmon na Embiid hapo unawapa bila mashakaDah nasikitika sikumfuata nikapotezea nilipoona wewe hujawarecommend leo, ila sasa sitawaacha kamwe
Kuna mkeka nimewategeshea wakorea, wakinipa hiyo hela nitacheza kokoro moja football na inplay za China
Leo na mimi nimejiunga na hawa majamaa baada ya kusumbuka muda mrefu nimeanza nao kwa inplayView attachment 679731
Watu walikuwa wanalalamika kuhusu deposit mimi sijakutana na tatizo lolote fasta tu hela imeshasomaSafi mkuu, karibu! [emoji120][emoji120][emoji120]
Watu walikuwa wanalalamika kuhusu deposit mimi sijakutana na tatizo lolote fasta tu hela imeshasoma
Fafanua namna ulivyo depositWatu walikuwa wanalalamika kuhusu deposit mimi sijakutana na tatizo lolote fasta tu hela imeshasoma