Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata direct WIN inaweza isiwe nzuri kwa usalama wako.!
Namanisha ni bora in play zaidi ya direct win sasa ivi asee Jana Cleveland quarter ya kwanza na ya pili walikuwa moto...
Wametoka break nikajua kuna vikapu zaidi kucheki dakika ya 3 quarter ya 3 naona vikapu 10 afu wamewapa in play 3quarter over\under 60.5 sasa unategema nilifanyeje mkuu kama sio kuweka under??[emoji23] [emoji23]
 

[emoji12]

Hata mie wafilipino wamenipa za uso 3rd Q wanezingua mbaya! Naunga mkono hoja, INPLAY inalipa! Ila siyo guaranteed! Unaweza kuchezea za uso...
 
Hakuna option safe 100% we just trust our inner voice...

Safi mkuu! Wewe ndiyo umesepa ukweli! Achana na jamaa anasema anabet for 4 years etih direct win ndiyo guaranteed kwenye Basketball! Nikaona nimwambie kila la kvetching tu.

Probability is always dynamic, it has never been static! —
 
Mfano umebeti mechi ila inaonekana mkeka unaweza chanika unaweza kutoa pesa huku mechi inaendelea
Wew unaitoa pesa yako yoote au wanakata kiasi na kuiludisha pesa yak uanafanyaje mkuu msaad plz vip hawa jamaaa wana kutulubo
 
Safi mkuu! Wewe ndiyo umesepa ukweli! Achana na jamaa anasema anabet for 4 years etih direct win ndiyo guaranteed kwenye Basketball! Nikaona nimwambie kila la kvetching tu.

Probability is always dynamic, it has never been static! —
Sure bro!!
 
Wew unaitoa pesa yako yoote au wanakata kiasi na kuiludisha pesa yak uanafanyaje mkuu msaad plz vip hawa jamaaa wana kutulubo
siyo yote wanapiga hesabu na pia inategema na point unaweza ambiwa unakula kali moja ila uka ka cash out elfu 30 inategemea
 


Hawa waphelipino sijui wamekula maharage ya wapi Dk 48 wanashindwa kutoa vikapu 192 ilihali wa Australia (Adelaide) Dk 40 wametoa vikapu 200 na upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…