Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hii biashara inatakiwa uwe na roho ngumu sana ... maana sio kwa ukatili huu wanaotufanyia. Dakika ya 94 !!! really? !!! Inauma sn
Ha ha haaa mimi pia nahemea mashine. Porto ana kagoli kamoja half time.
 
Yah nimetumia m-pesa pesa imeingia papo hapo mkuu


Asante sn Chief ... hebu ngoja nijaribu. Maana jana nilideposit kwa nyia ya Beyonic (m-pesa) wakasema walikuwa na shida na m-pesa.
 
Alafu wakuu nisaidieni toka nimefungua akaunti 1xbet hizi lucky bonus napewa sana ila sijuagi jinsi ya kuzitumia aliyewai fanikiwa naomba msaada maana Friday lucky bonus Leo nimebaki naishangaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…