Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wanakosea wenyewe na kusingizia 1xbet tatizo watu hawataki kuwajibika na makosa yao
mkuu hv unaweza kutumia mtamdao mwingine kuweka hela 1xbet?mm nlifungulia line ya voda je naweza kutumia line nyingine kufanya muamala?
 
Dah mr wise sizioni kabisa hizotimu premier au we unatumia kampuni gani
PMbet hii Mkuu premier nimehama jana kwasabab iyoiyo haweki mechi nyingi inplay, yani J3 natoa pesa zote huko premier.
 
Hawa 1xbet kazi ipo, yaani majibu yao ni computer generated
 

Attachments

  • Screenshot_20180121-163545.jpg
    46.2 KB · Views: 45
All ahly win
Monaco win
Verona x
Southampton over 3.5
Olot x Spain B
 
PMbet hii Mkuu premier nimehama jana kwasabab iyoiyo haweki mechi nyingi inplay, yani J3 natoa pesa zote huko premier.
Duh na ndo nimedeposite mzigo huko ngoja niitafute hiyo app asante kiongoz zimenipita za kukuzia mtaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…